Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Nategemea picha za matukio ya uwanjani kutoka kwako Mkuu.formation azam fc
4 4 2
Nategemea picha za matukio ya uwanjani kutoka kwako Mkuu.formation azam fc
4 4 2
Munasemaga hivyo hivyo mwisho wa picha munatoka nduki. Leo lazima tutangaze ubingwa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Tanzânia.
Mpira umeanza watu mnapiga story tu
Yanga funga hao Azam goli 3 tu
thats words..mkuu tatizo yanga timu ya maneno ya KANGA sana,
kilalaheri yanga
Simuoni MANDIETA simuoni MAKOYE MATALE wala ACOUNT FULL hii inamaanisha kua wanajua kitakacho tokea hapo Uwanja wa TAIFA hivyo wameamua kujificha kuepukana na haibu hiyo.
wewe wasema..
safi sana mwantika..