Jina limenipita ila nafikiri an damu ya kijani, na ni mod hii safu hii!Ni nani huyo?
Nakuomba usiondoke humu mpaka dakika 90 zinaisha. Yanga nikama sinema ya kihindi tu. ( Copy to Julio)KITOABU nakushauri usisahau kubeba panadol ili kupunguza maumivu pindi jahazi la lamabalamba litakapoporomoka,ni ushauri tu mkuu!.
mkuu, yanga wacheza..hao wananunua mechi tu
Munasemaga hivyo hivyo mwisho wa picha munatoka nduki. Leo lazima tutangaze ubingwa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Tanzânia.Hii mechi lazima azam akae...
Ilitakiwa ianzishwe thread mpya kuutendea haki mtanange wa leo.
Mods sijui vipi eti wameunagnisha huku..Ilitakiwa ianzishwe thread mpya kuutendea haki mtanange wa leo.
Hivi kandambili mlibana sasa mnakubali game zenu kuoneshwa azam tv.
Azam tv kama supersport. Magari ya timu ndo yanaonekana yakiwasili uwanjani.
Ambulace ipo!
yaani anashangalia kumtoa bikira mtoto ,hapo hukutoa Bikira ulinajisi!mbeya city alikuwa bikra kama azam,ndio maana nimekuambia wauulize
yaani anashangalia kumtoa bikira mtoto ,hapo hukutoa Bikira ulinajisi!
Nilianzisha asubuhi,mods wameileta huku.