Mimi mpaka mwakani..hapa naulizia tu Man United bado ipo ligi kuu ya uingereza?
Ok ..aksante sana kwa kunijuza, sababu kila nikiangalia ile nafasi yao kwenye msimamo wa ligi naona sura mpya..au ni Man u na avatar ya Chelse? Hawa jamaa wamebadili avatarNdiyo mkuu tena kwenye nafasi nzuri
Ndio nlikua nauliza wamebadili avatar? sababu kwenye ile nafasi yao sioni ile avatar yao tuliyoizoea.Ipo mkuu,
Mh..wew si mwenzangu wew...au umetusaliti?Mmmh!!!! Haya kila la kheri YANGA.
Week umpige nani? Ngoja tuwapakueni leo.
Mh..wew si mwenzangu wew...au umetusaliti?
subiri uchezee kichapo
Mwaka huu tunachukua ubingwa kwa mara ya kwanza tena bila kufungwa.
Kila la heri..mimi niko ligi za ulaya naona bongo sina bahati mwaka huuMimi Yanga mpaka kiama.
Nilidhani nimuulize Simba, kumbe Mbeya city? Mbeya city ana historia gani ktk ligi kuu? Ngojeni tuwafundishe mpira.hizo ni ndoto tena ni za mchana,si unajua yanga kama ni watalam wa kutoa bikra? waulize mbeya city watakuambia
Nilidhani nimuulize Simba, kumbe Mbeya city? Mbeya city ana historia gani ktk ligi kuu? Ngojeni tuwafundishe mpira.