UPDATES: US midterm election results

UPDATES: US midterm election results

all is not lost, Byron Donalds a Christian conservative anaenda kushinda ugavana florida, first black gavana of the state of florida.

Christian Conservative Byron Donalds ameshinda ugavana wa florida ...

View attachment 3704317

Huyu mwamba nilipenda Kuna siku aliwajibu very straight wazee wa LGBTQ kuwa yeye huo upuuzi wa pronoun hadeal nao na wasitegemee.
 
US walichokitafuta watakipata mapema sana maana naamini uchumi wake lazima aunguke mwakani, next pandemic inaenda kuipiga US na hizo states walizochagua hao social democrats hakika watajuta na kukumbuka lakini itakuwa too late states za Democrats zinaenda kuwa na hali mbaya kiuchumi na watu kibao watamove kwenda Republiban states. Hiki walichokofanya kitawarudia kwenye maisha yao ya siku za mbele na watajutia uhuru wanaotake for granted very soon utaanza kupigia kelele za kubadilishiwa sheria ili uhuru huo wasiwe nao tena. Muslims Brotherhood wanasongesha kete taratiibu na US citizens wamelala usingizi wa pono sasa ngoja waanze kupata shida waone US yao ikiwa na chaos kama France au UK ndiyo wataelewa why Trump na conservatives wengine hawapendelei siasa za Democrats. Democrats taratiibu inakuwa taken over na Muslims Brother Hood na hawa jamaa watafanikiwa kuiangusha USA na USA itacollapse mazima.

Wewe Sasa ndio mtu pekee unaelewa kinachoendelea US kwasasa. Maana wengine humu naona wanaoongea ongea tu mradi wameandika, upuuzi mtupu.
 
Sijui ilikuaje Wamarekani wakakubali kutawaliwa na tapeli, mtu mjinga na mpuuzi kama Trump!
Jibu liko hapa

1793829931709.png
 
US walichokitafuta watakipata mapema sana maana naamini uchumi wake lazima aunguke mwakani, next pandemic inaenda kuipiga US na hizo states walizochagua hao social democrats hakika watajuta na kukumbuka lakini itakuwa too late states za Democrats zinaenda kuwa na hali mbaya kiuchumi na watu kibao watamove kwenda Republiban states. Hiki walichokofanya kitawarudia kwenye maisha yao ya siku za mbele na watajutia uhuru wanaotake for granted very soon utaanza kupigia kelele za kubadilishiwa sheria ili uhuru huo wasiwe nao tena. Muslims Brotherhood wanasongesha kete taratiibu na US citizens wamelala usingizi wa pono sasa ngoja waanze kupata shida waone US yao ikiwa na chaos kama France au UK ndiyo wataelewa why Trump na conservatives wengine hawapendelei siasa za Democrats. Democrats taratiibu inakuwa taken over na Muslims Brother Hood na hawa jamaa watafanikiwa kuiangusha USA na USA itacollapse mazima.
was3ng3 kama nyinyi mnajifanya mnajua tumekosa hata matusi ya kuwatukana
Pumbavu uko bara la giza hata maisha yako ya kuungaunga halafu unajifanya unaijua US mshamba wa vijijini nyie kuwa na kitcno mshajiona mnajua maisha ya wanaoishi US xuma nyinyi
 
Kuna mchezo unachezwa watu wengi especially huku nje ya Marekani hawajajua kuwa unachezwa sababu hawafuatilii taarifa nje ya mainstream media. Kuna media zinajua hii michezo ila haziripoti kwasababu wanataka trump atoke.

Black Americans wa Texas wengi wapo brainwashed na wamechangia sana kuidhoofu republican. Anyways, watanyooshwa nyoko wale.
wewe pumbavu la vijijini kaa kimya kwenye mijadala ya wanaume bana hayo matako au jitie dole ufunge hilo bakuli lako
 
Muda utaongea
Kuna mchezo unachezwa watu wengi especially huku nje ya Marekani hawajajua kuwa unachezwa sababu hawafuatilii taarifa nje ya mainstream media. Kuna media zinajua hii michezo ila haziripoti kwasababu wanataka trump atoke.
 
Hao ni wale wa masjid ubwabwa, ndio akili ilivyo, wanafikiri Marekani sasa itakuwa ni Islamic Republic of the USA ikitawaliwa na Islamic Sharia Laws...
🤣🤣🤣🤣
Ona hili thengge, uliyemkoti anawaponda nyie makafiri na uthenge wenu wa kudhani eti waislam ndio wamepiga kura kuingusha republican......udini unawasumbua nyie makafiri mazuzu
 
Wow! Just wow!

This is a total repudiation of Trump.

Yaani miaka miwili tu baada ya kurudi madarakani kwa kujenga bonge moja la coalition, leo wapiga kura wa Marekani nao wameongea kwa kukataa kabisa sera za Trump.

Mtu unaahidi kuwa hutaanzisha vita. Baada ya mwaka unaanzisha vita ya kipumbavu inayovuruga uchumi wa dunia, unategemea nini?

Unaahidi utakamata na ku deport wahalifu. Unaingia madarakani unakamata na kuanza ku deport hadi raia! Unategemea nini?

Sidhani kama huu ni ushindi wa Democrats. Huku ni kukataliwa kwa namna Trump anavyoiendesha nchi.

Hivyo Democrats wasidhani kwamba wanakubalika kivile maana na wao walipewa fundisho na wapiga kura 2024 kwa kumchagua Trump.

Wow!
Yesterday Trump was served his ass. He has to recon with how he leads the country. According to Cruz, Republicans doesn't have a chance to win the senate back until at earliest 1932. Going 2028 the classes of Democrats up for re-election are from states that are mostly considered Blue state except for few purple like Pennsylvania, Wisconsin, Georgia, Michigan and Arizona.
Even those states I saw blue wall forming as the Democrats were able to flip state houses also apart from sweeping all the federal position.
They should dread embracing Trumps policies of revenge and denying the certification of 2020 election. It has cost them all the credibility although Cost of living was the main cause for their sweeping defeats at the hands of the Democrats.
 
huyo shoga mmoja atabadilisha nini ?

gonernor elect Byron Donalds ni Christian Conservative republican, is a married man na ni baba wa watoto 3 siyo homosexual, mashoga wengi waliochaguliwa ni democrats ...

,,In January 2026, Donalds was named a founding member of the Sharia-Free America Caucus, which seeks to ban Sharia law. He said, "Sharia has no place in America. We will not surrender our freedoms." The Council on American–Islamic Relations (CAIR), a civil rights organization, named Donalds and other House members in a statement designating the Sharia Free America Caucus an anti-Muslim hate group and saying the caucus's agenda "would effectively ban the practice of the world's second largest religion in the United States" ...

 
Back
Top Bottom