Obama deported more immigrants than D.Trump did, ice chini ya obama deported more than
3 million immigrants, obama bombed libya and
killed gadaffi and his sons and destroyed once a stable and relatively rich afrikan country, obama adminstration destroyed sudan (mateso ya sudani kusini leo hii yalianzishwa chini ya obama adminstration), obama destroyed siria, isis ilianzishwa kipindi cha obama, i mean simetetei Trump lkn najaribu kuwa objective na siyo subjective.
americans walimchagua (Trump) hajawatimizia aliyoiwaahidi, wameamudhibu kwenye midterms so far so good na hiyo ndiyo demokrasia lkn kumgeuza D.Trump kwamba is more evil wakati hakuna kibaya zaidi alichokifanya ukilinganisha na maraisi wengine n kuwa subjective, unafahamu ni raisi gani aliyeleta same sex marriage (ruhusa ya wanaume kwa wanume/wanawake kwa wanawake kuona) in USA hali iliyopelekea kufungua na kuhalalisha
rasmi kisheria ya homosexuality in USA, ilitokea mwaka 2015 chini ya obama adminstration, hivyo hawa wanasiass wote wanaojitokeza leo hii USA kama homosexuals wanafanya hivyo kwa sababu ya ruhusu ya kipindi cha obama
kabla obama adminstration same sex marriage ilikuwa illegal in USA.
we came, we sawa, he died hahahah hillary clinton chini ya obama akishagilia kifo cha gadafi ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=6DXDU48RHLU