Unaunga mkono ukiwa wp !??yeah, mimi ni pro republican ...
Unaunga mkono ukiwa wp !??
Na bado mkashinda ubungeCCM inafanya wizi wa kura ambao umeonekana dhahiri shahiri. Ni mpumbavu tu ndio atapinga hilo.
Pia hakuna tume huru ya uchaguzi,umeona wapi tume ya uchaguzi inasimamiwa na chama tawala!?
Boss wa DP World na wewe unahangaika visa kama sisi wasaka nyoka..Kwahiyo embassy itaondoa baadhi ya vizuizi vilivyowekwa ili kupata VISA?
US walichokitafuta watakipata mapema sana maana naamini uchumi wake lazima aunguke mwakani, next pandemic inaenda kuipiga US na hizo states walizochagua hao social democrats hakika watajuta na kukumbuka lakini itakuwa too late states za Democrats zinaenda kuwa na hali mbaya kiuchumi na watu kibao watamove kwenda Republiban states. Hiki walichokofanya kitawarudia kwenye maisha yao ya siku za mbele na watajutia uhuru wanaotake for granted very soon utaanza kupigia kelele za kubadilishiwa sheria ili uhuru huo wasiwe nao tena. Muslims Brotherhood wanasongesha kete taratiibu na US citizens wamelala usingizi wa pono sasa ngoja waanze kupata shida waone US yao ikiwa na chaos kama France au UK ndiyo wataelewa why Trump na conservatives wengine hawapendelei siasa za Democrats. Democrats taratiibu inakuwa taken over na Muslims Brother Hood na hawa jamaa watafanikiwa kuiangusha USA na USA itacollapse mazima.yeah, mimi ni pro republican ...
Hizi wiki 2 zimekua tamu sana huko Bibi Nyau chaliii na huku Orange man chalii pia. Walimwengu kwa ujumla walishamchoka kushindwa huko ni msumali wa mwisho kwenye jeneza. wamuimpeach now na Epstein files zitoke kwa uwazi. Jinga sana hili jamaa. Kila kitu lenyewe ni personal tu.
Uko sawa ingawa sidhani kama ni suala la unafiki labda ni la unyonge wa nafsi/roho kwa upande wake Nyerere.Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 bado ni ya chama kimoja na kinawabeba ccm ndio maana piga ua hawakubali ibadilishwe.
Nyerere aliona ubovu wa katiba hii lkn kwa unafiki wake akaiacha ibaki na leo ndio nguzo kuu inayoishikilia ccm kwani wakuu wa vyombo vyote vya dola ni wanachama wa ccm pamoja na wote walioko kwenye tume ya uchaguzi. Bure kabisa.
67 wanazipataje wakati zimebaki 2 tu kuhesabiwa! Kati ya Senate zote zilikuwa kwenye midterm nafikri ni hizo 35 zinazoonekana kwenye bango la kuhesabu kura!Senate and House going blue
Wakipata Senate 67 wanamng’oa Trump
Leftist Wengi na sera zao ziko bolded na Muslim brotherhood na sera zaoMuoneni mwingine huyu hapa..
Marekani ina waislam wangap mpaka kura wazipeleke kwa chama kisicho cha Trump?
Kwamba waislam ndo wamepiga kura?
Kilichomwalibia Trump ni kutokuwa na uamuzi wa moja kwa moja kwenye Vita vya Iran kitu ambacho kimesababisha gharama za maisha kupanda kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta.Wow! Just wow!
This a total repudiation of Trump.
Yaani miaka miwili tu baada ya kurudi madarakani kwa kujenga bonge moja la coalition, leo wapiga kura wa Marekani nao wameongea kwa kukataa kabisa sera za Trump.
Mtu unaahidi kuwa hutaanzisha vita. Baada ya mwaka unaanzisha vita ya kipumbavu inayovuruga uchumi wa dunia, unategemea nini?
Unaahidi utakamata na ku deport wahalifu. Unaingia madarakani unakamata na kuanza ku deport hadi raia! Unategemea nini?
Sidhani kama huu ni ushindi wa Democrats. Huku ni kukataliwa kwa namna Trump anavyoiendesha nchi.
Hivyo Democrats wasidhani kwamba wanakubalika kivile maana na wao walipewa fundisho na wapiga kura 2024 kwa kumchagua Trump.
Wow!
Hizo ni ndoto tu kama ccm wanavyojifurahisha kwamba watatawala nchi hii milele.Naam!!
Naiona influence kubwa ya waarabu kupitia uislam kwenye siasa za Marekani unakuwa kwa kasi na kuongeza viti vya uwakilishi...na kuongeza ushawishi kwenye siasa za Marekani....
Lakini tumeona pia baadhi ya waislamu wakisema kuwa mpango wao ni kutumia demokrasia kuongeza ushawishi na baadae kuiondosha demokrasia na kutumia sharia......
Hili unalionaje kwa siku za mbeleni...!??