UPDATES: US midterm election results

UPDATES: US midterm election results

CCM Ilipaswa kugawana na vyama majengo na mali zote zililichumwa na kujenga na Wananchi wakati wa chama kiomja ikiwemo maofisi na viwanja vya michezo, haikufanya hivyo lakini pia sheria ya vyama vingi ilikuwa na mapungufu kiasi cha kuipa nguvu kubwa CCM, Ilipaswa kutengeneza mazingira ya ushindani sawa, ni kama vile sera ya vyama vingi ni udanganyifu tu.
Watu wakikuchangia kufanikisha kufunga ndoa,huyo mke anakua wako peke yako au na wale waliochanga Wana haki nae?
 
Vyama havina matawi wala ofisi sehemu kubwa ya nchi halafu mnataka kushindana na CCM,matokeo yakitoka mnadai mmeibiwa, CCM ina wanachama hai 14m
Mpuuzi wewe, kwahiyo Napelenga ni kichaa aliyesema bao la mkono?
Mxxxiiieeew
 
Kama wakina ilhan Omar wameshinda licha ya makelele yote Yale, mytake watu waache kulishwa propaganda, wanajifanya wanajua siasa za marekani kuliko wamarekani wenyewe. Kiko wapi? Inasikitisha mno

You can't win argument, because if you win, you lose and if you lose, you lose by darnie Carnegie
 
Trump shikilia hapo hapo


Waislam wengi wanampinga Trump kwasababu dini Yao Malengo ni kuikamata US
 
Wow! Just wow!

This a total repudiation of Trump.

Yaani miaka miwili tu baada ya kurudi madarakani kwa kujenga bonge moja la coalition, leo wapiga kura wa Marekani nao wameongea kwa kukataa kabisa sera za Trump.

Mtu unaahidi kuwa hutaanzisha vita. Baada ya mwaka unaanzisha vita ya kipumbavu inayovuruga uchumi wa dunia, unategemea nini?

Unaahidi utakamata na ku deport wahalifu. Unaingia madarakani unakamata na kuanza ku deport hadi raia! Unategemea nini?

Sidhani kama huu ni ushindi wa Democrats. Huku ni kukataliwa kwa namna Trump anavyoiendesha nchi.

Hivyo Democrats wasidhani kwamba wanakubalika kivile maana na wao walipewa fundisho na wapiga kura 2024 kwa kumchagua Trump.

Wow!
🇺🇸🇮🇷⚡️— Trump linked the republican defeat in the US congressional elections to the war with Iran and rising gasoline prices.

"We actually have the greatest economy. You know, during my first term, I had the best economy. But because of the gasoline prices, people don't notice it as much as they would without it. And the problem with gasoline was caused by Iran," Trump said.

"But at the same time, people understood the importance of what I did regarding Iran," the US President added.

@Intelslava
 
Trump shikilia hapo hapo


Waislam wengi wanampinga Trump kwasababu dini Yao Malengo ni kuikamata US
Wewe uko kwenye ndoto au, kwani matokeo huyaoni? Wale wote waliokuwa wanapigiwa kelele wameshinda. Chuki haziwasaidii. Siasa za wamerakani, wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom