Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,325
- 6,813
Wangempeleka akamalizie matibabu Ulaya tu!! Waafrika hatuthamini kabisa uhai wa mtu!
Acheni kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kipuuz. Hayo maneno lisu aliongea lini?mbona hamtak kujiongeza?kwa KIKI za ufipa si hata ka voice clip ungekaona?lisu katulia zake huko sema kitengo cha propaganda kiko kazini kila siku mara lisu kasema hivi mara kaanza kula....Lengo halikuwa kumpeleka Ulaya au kutumia passwords. Lengo lilikuwa ni kumwondolea uhai wake. Sasa kwa kuwa Mungu kazuia hilo lisitokee hadi muda huu, yakupasa utulie maana Tundu mwenyewe anasema "Tumeshinda Tumeshashinda".
Inakuuma sana dadaNarudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Inaniuma kweli watu wanaposhindwa kujua propaganda za kisiasa zikoje.Inakuuma sana dada
Hapana isikuume kwa kuwa maadui ni wengi kuliko watu wemaInaniuma kweli watu wanaposhindwa kujua propaganda za kisiasa zikoje.
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
kwani mheshimiwa Lisu alikukosea nini wewe binafsi?Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Nyumbu ni mumeo ndo maana unadukuliwa na anajua ila hana ujasiri wa kumkuda anaekudukua, nyambaafu mkubwaNarudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani
Siyo kila mtu aliyepo CCM ana akili za kilumumba,..Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani
we jamaa lofa kweliNarudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?