Updates toka Kenya: Hali ya Lissu yazidi kuimarika, ulinzi waimarishwa. Ukienda kama hautambuliki huingii ndani

Lengo halikuwa kumpeleka Ulaya au kutumia passwords. Lengo lilikuwa ni kumwondolea uhai wake. Sasa kwa kuwa Mungu kazuia hilo lisitokee hadi muda huu, yakupasa utulie maana Tundu mwenyewe anasema "Tumeshinda Tumeshashinda".
Acheni kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kipuuz. Hayo maneno lisu aliongea lini?mbona hamtak kujiongeza?kwa KIKI za ufipa si hata ka voice clip ungekaona?lisu katulia zake huko sema kitengo cha propaganda kiko kazini kila siku mara lisu kasema hivi mara kaanza kula....
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Inakuuma sana dada
 
UHAI wa Lissu ni wa thamani kuliko chochote kwa sasa . Nadhani hata hiyo ya password haitoshi.

Bado najaribu kubuni kitu bora zaidi
 
Good News .... Get well hon Tl ......Singida ...gugurombeeeea uzidi uhanga ufangaaaa usoke ukazi yako wahaaa ! Wighosia waaah!
 
...
... TUMESHINDA!!!

Tulimtandika Nduli mpaka Sudan Mchonga angepotezea tunge toboa mpaka Mediterranean
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?

Nyumbu ziko pale Lumumba zombie zone
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
kwani mheshimiwa Lisu alikukosea nini wewe binafsi?
 
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Nyumbu ni mumeo ndo maana unadukuliwa na anajua ila hana ujasiri wa kumkuda anaekudukua, nyambaafu mkubwa
 
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani

Angeacha tu maana wenyewe hawana imani na yeyote. Atapata lawama hizo hataamini. Better awape hela kama anazo
 
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani
Siyo kila mtu aliyepo CCM ana akili za kilumumba,..
 
Lazaro Nyalandu Mbunge wa CCM ndio Yupo Nairobi kufanikisha mpango wa kumpeleka Marekani baada ya Rundo la Wabunge wa Chadema kutokuwa na uwelewa waanzie wapi kumpeleka Marekani

Hahahhahahah pole sana,kwa hiyo hiyo Kick anayotafuta Nyalandu ndiyo umeiona ya maana.Mbona hajamlipia bill za hospitali basi.

Mwambieni polepole aatoe tamko la kumsifia basi
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
we jamaa lofa kweli
 
Back
Top Bottom