Updates toka Kenya: Hali ya Lissu yazidi kuimarika, ulinzi waimarishwa. Ukienda kama hautambuliki huingii ndani

Aliyetumwa kufanya hiyo kazi,, ,,,, Nina amini anaumwa.........

Lakini pia ninawaza tu,...kama haumwi,, labda jamaa hakupeda kuumua ......ila alifanya vile kulidhisha aliye mtuma...ninawaza tu.
 
Mwenyezi Mungu amruzuku afya njema shujaa pekee (Tundu Lissu) anayethubutu kupambana na Dikteta mchana kweupe
 
Aliyetumwa kufanya hiyo kazi,, ,,,, Nina amini anaumwa.........

Lakini pia ninawaza tu,...kama haumwi,, labda jamaa hakupeda kuumua ......ila alifanya vile kulidhisha aliye mtuma...ninawaza tu.
Mimi naamini "wasiojulikana hao" baada ya kufeli hiyo kazi, kama hawajarestishwa in hell na mabosi wao (ambao dunia nzima inawajua tu na sasa wanamtafuta mbuzi wa kafara) basi hawana muda mrefu wa kuendelea kupumua...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
IMG-20170920-WA0004.jpg
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?

Kama na wewe siyo NYUMBU kwa nini umehangaika kusoma na kujibu huu Uzi?? Pole sana Lumumba buku 7 FC.
 
Hata jimboni kwake Singida wataweka password??

Ni aliyelewa madawa ya mwenyekiti tu ,ndio ataamini huu ulofa
 
Hata jimboni kwake Singida wataweka password??

Ni aliyelewa madawa ya mwenyekiti tu ,ndio ataamini huu ulofa
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
MBONA WANACCM MNACHUKIA SANA MKISIKIA KUWA LISSU ANAPATA ULINZI WA KUTOSHA
 
Narudia tena KIKI. eti kumwona hadi uwe na password. Tutasikia mengi sana kwenye hili tukio.Bado mtakuja na scanner zawekwa kabla ya kuingia kumwona LISU. NI NYUMBU TU ataangaika na hizi propaganda. Vipi ulaya anapelekwa lini?
Lengo halikuwa kumpeleka Ulaya au kutumia passwords. Lengo lilikuwa ni kumwondolea uhai wake. Sasa kwa kuwa Mungu kazuia hilo lisitokee hadi muda huu, yakupasa utulie maana Tundu mwenyewe anasema "Tumeshinda Tumeshashinda".
 
Kwa iyo hata akirudi bungeni nayo kumuona itakuwa kwa password?? au akirudi jimboni kwake nayo ataongea na wananchi wake kwa password?? Vitu vingine ni upuuzi, ina maana atakaa kwenye icho chumba chenye password maisha yake yote??
 
Vizuri sana kila ulinzi unaotakiwa tunaomba uwekwe na sisi wananchi tunazidi kumuombea na kumchangia hela ya matibabu ingawa wanatuzuia kumuombea na kumchangia damu na hela
 
Back
Top Bottom