Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

o-OBAMA-BUSH-TANZANIA-facebook.jpg
 
Obama, karibu tena tanzania.ufike salama huko marekani. Watanzania tunakupenda
 
p070113ck-0430.jpg
First Lady Michelle Obama and Salma Kikwete pause for a moment of silence while visiting the U.S. Embassy Bombing Memorial at the National Museum in Dar es Salaam, Tanzania, July 1, 2013.

p070113ck-0514.jpg
First Lady Michelle Obama and Salma Kikwete, along with daughters Malia and Sasha, watch the Baba Watoto performance at the National Museum in Dar es Salaam, Tanzania, July 1, 2013
 
Wakati wadau mbalimbali wakiendelea kulalamika juu ya huduma duni za TBC, jana wametoa kituko cha karne mbele ya wageni na watazamaji kule wanakoonekana!
Hebu angalia na utujibu, kuanzia jana Tanzania ina marais wangapi!
Soma uone OBAMA ni nani kwa mujibu wa TBC1....

IMG-20130701-WA0005.jpg
 
Ha! Huyu msimamizi wa maandishi alikunywa kiroba!
 
TBC imeoza kama ilivyo CCM. Hakuna Television ambayo hivi sasa haina mvuto kama hiyo TBC! Khaa!
 
03prexy-2-articleLarge.jpg


President Obama and former President George W. Bush attended a ceremony in Dar Es Salaam, Tanzania, to mark the memory of those killed by a terrorist bomb 15 years ago
 
8603745.jpg


[h=3]President Barack Obama toasts with Tanzanian first lady Salma Kikwete during an official dinner at the State House in Dar Es Salaam, Tanzania, Monday, July 1, 2013. The president is traveling in Tanzania on the final leg of his three-country tour in Africa.[/h]
 
Hawa TBC bwana sijui huwa wanakuwa na matatizo gani makosa mengine ni ya kijinga sana lol...
 
Baraka Obama raisi wa Tanzania???????????????????????????????
 
Tz imepata sifa kubwa sana kutembelewa na rais wa dunia
 
Back
Top Bottom