Updates: Mvua Dar leo tarehe 23/04/15

Updates: Mvua Dar leo tarehe 23/04/15

Hahaaaa,ulikuaga unakula vinjwa sana nn mkuu?
Kuna jamaa yangu alioa huko maeneo ya dondwe mtoto wa kizaramo mpaka sasa haji kijiweni wakati wote tuna wake.sijui mwenzetu anapewa nn.
Mkuu huko hapana chezea toto za kizaramo ni nooumer.
 
Jamani sisi tupo safarini tunakuja Dar natunaenda maeneo ya kwa Azizi Ally,tuna gari ndogo toyota na lengo letu tuingilie pale mbezi tutokee kinyerezi-majumba6-nyerere road,jee pako salama?
tunaomba msaada wakuu maana safari ni ndefu na foleni ya kimara kisha buguruni mbona tutakoma!!

kama gari ya chini sikushauri kupita mbezi kinyerezi......barabara ni vumbi na mvua ikinyesha kunakuwa na tope la ajabu......mie kuna siku ilibidi tushuke tutembee kwa mguu....mana gari zilikuwa zinaseleleka sana......ni hatari aiseee.....
 
Sasa ukimwi unahusiana nini na baridi?
Pale MAKETE Iringa ukimwi ulifyeka kijiji kizima wakabaki watoto tu mkuu.
Nenda pale njombe,yani ni sheedah tupu,pale ukichukua "mboga yenye chupi"(demu)ni lazima utumie condom 7 kwa mpigo,otherwise inakula kwako!maeneo hayo yote yana baridi ya hatari mkuu.Jibu lako ndio hilo.
 
barabara ya kilwa road bado inatengenezwa na kuna tope jingi sana na pamechimbika gari zinakwama
Duh,Ahsante kwa taarifa mkuu.
Nadhani kuna aja ya kua ni mchepuko huku uchagani "kimara"otherwise nisingeumiza kichwa atall!
 
Pale MAKETE Iringa ukimwi ulifyeka kijiji kizima wakabaki watoto tu mkuu.
Nenda pale njombe,yani ni sheedah tupu,pale ukichukua "mboga yenye chupi"(demu)ni lazima utumie condom 7 kwa mpigo,otherwise inakula kwako!maeneo hayo yote yana baridi ya hatari mkuu.Jibu lako ndio hilo.

baridi siyo chanzo cha kupata ukimwi. vinginevyo watu wa ulaya na amerika kaskazni wangekuwa wamekufa wote kwa ukimwi
 
Kwa tunaoishi hili jimbo la mwisho kabisa kwa maendeleo jijini Daressalaam jimbo la Ukonga mvua hizi taabu tupu!
Espeshare wakazi wa Kivule tunaotegemea usafiri wa uma ni sida, barabara zinakuwa mbovu maradufu yaani unaweza kufuga hata kambare barabarani!!
Hii imepelekea kila wenye daladala kupanga nauli waitakayo ambapo wanatoza nauli kubwa mno kwa wenye vipato vya kuungaunga kama mimi.
Licha kuumizwa kwenye nauli lakini pia kutokana na ubovu huu wa barabara ukiwa kwenye usafiri ulioutaabikia mno ni mwendo wa kurushwarushwa mpaka mwisho wa safari!!
Yaani ukijumlisha na uchovu wa deiwaka zetu za kubeba mizigo huko town mtu unapoenda kulala unakosa tofauti kabisa na mtu aliyezimika.
Cha ajabu Meya wa Ilala ni mkazi pia wa jimbo hili.
Sijui tuna laana ya nani!!!!
 
kama gari ya chini sikushauri kupita mbezi kinyerezi......barabara ni vumbi na mvua ikinyesha kunakuwa na tope la ajabu......mie kuna siku ilibidi tushuke tutembee kwa mguu....mana gari zilikuwa zinaseleleka sana......ni hatari aiseee.....
Ahsante mkuu.
Gari ni ya chini mkuu,na kwa mujibu wa mkuu DAKA MTUMBA tumeshachukua tahadhari na tumezungukia Mandera RD!!
Now tupo Mlandizi!!
 
Last edited by a moderator:
mbezi malamba 2 kinyerezi nadhani yupo estim anajenga hiyo barabara sitegemei kama mtu anaweza kwamishwa na matope.labda kuchafua gari tu

ushawahi kupita hiyo barabara mvua ikiwa imenyesha......? haifai......
 
Wakuu tupeane updates za mvua hapa jijini Dar na athari zake.

Huku maeneo ya Ukonga sijapata taarifa yoyote mbaya,pia hakuna tatizo la msongamano mkubwa wa magari kwa muda huu.

Maeneo ya Kipunguni "A" kituo cha bonanza nasikia kuna gari imegonga mti baada ya kuteleza.

Barabara ya kinyerezi sijapata updates zozote,maeneo ya gongo la mboto ulongoni kwa kina(Jot wa ze Commedy)nasikia hali si shwari sana maana kuna mtu wa maji mkubwa uliopasua kutafuta njia ili kuelekea mto msimbazi.

Kitunda pako poa.

Ntaendelea kuwajuza kila ntakapopata taarifa mpya hasa upande huu wa UK.

Mlioko katikati ya jiji na pembezoni pia tupeni taarifa ili kuwazaidia wadau na wapita njia ili kujihami na hadha ya mvua.
Sio bure, uko ofisi moja na mama Kijazi wa TMA!
 
Back
Top Bottom