Updates: Mvua Dar leo tarehe 23/04/15

Updates: Mvua Dar leo tarehe 23/04/15

A see mm mwenyewe imenituka natoka quality centre imeninyeshea vibaya nimepita tzr pemben na kituo cha polisi maji yamejaa had I bajaji moja ilikuwa imebeba abilia manusula iwabwage kwenye dibwi fulan kama wasingekuwa vijana kujitolea kuivuta kwa nyuma da ni sheeda kwel
 
kama hakuna mafuriko jangwani basi dar hakuna mvua ni manyunyu tu
 
Kwa hiyo mtazuia mafuriko kwa habari tu.mi niko bunju nakula bata
 
Tahadhari.
Maeneo ya UK-Gomz-Chanika-Masaki-Mvuti-Dondwe mvua imeanza upya so kwa mlioko mbali na ni wakazi wa maeneo hayo wahini majumbani kwenu.......
Mkuu umenikumbusha mbali sana hii ruti uk-gomz-chanika-mvuti dondwe
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana hii ruti uk-gomz-chanika-mvuti dondwe
Hahaaaa,ulikuaga unakula vinjwa sana nn mkuu?
Kuna jamaa yangu alioa huko maeneo ya dondwe mtoto wa kizaramo mpaka sasa haji kijiweni wakati wote tuna wake.sijui mwenzetu anapewa nn.
 
Achana na mabweg.e hao kiongozi. wape watu update utapata baraka.

Kwa walioko posta wanaitarajia kuchomoka na barabara ya Ali Hassan Mwinyi kuelekea Mwenge na vitongoji vyake wajiandae na foleni kubwa ya magari.....

Ah babu zaidi ya foleni kubwa ya magari kuna foleni gani barabarani?
 
T/bata Kinyerezi Kuko shwari ...mkuuu ! Umeme upo kuashiria pia hakuna itilafu yoyote katika miondo mbinu hiyo
 
mbezi malamba 2 kinyerezi nadhani yupo estim anajenga hiyo barabara sitegemei kama mtu anaweza kwamishwa na matope.labda kuchafua gari tu
 
Mkuu hiyo njia ya mbezi-kinyerezi-majumba6 haifai.
Maana mbezi-kinyerezi hakuna rami so nasikia kuna tope jingi na gari zina teleza sana,so endelea na morogoro rd kisha kama mandera rd tembea.Othereise uwe na 4WD car ingawa bado ni tabu sana mkuu!!

Ha! Bora mtafute gesti pale Mbezi mwisho, muondoke saa nne foleni zikiwa zimeisha. Maana mtafika asubuhi mmechoka.
 
Back
Top Bottom