DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Wakuu tupeane updates za mvua hapa jijini Dar na athari zake.
Huku maeneo ya Ukonga sijapata taarifa yoyote mbaya,pia hakuna tatizo la msongamano mkubwa wa magari kwa muda huu.
Maeneo ya Kipunguni "A" kituo cha bonanza nasikia kuna gari imegonga mti baada ya kuteleza.
Barabara ya kinyerezi sijapata updates zozote,maeneo ya gongo la mboto ulongoni kwa kina(Jot wa ze Commedy)nasikia hali si shwari sana maana kuna mtu wa maji mkubwa uliopasua kutafuta njia ili kuelekea mto msimbazi.
Kitunda pako poa.
Ntaendelea kuwajuza kila ntakapopata taarifa mpya hasa upande huu wa UK.
Mlioko katikati ya jiji na pembezoni pia tupeni taarifa ili kuwazaidia wadau na wapita njia ili kujihami na hadha ya mvua.