ngoja tuvute subira hadi dk 88mkuu kwa huyo refa akiendelea kuchezesha hivyo itabidi tukuombee kwa invisible akwambie utengue kauli.
Habari kutoka Comoro zinatanabahisha kwamba Kandambili kashinda 5 - 2 Comoronize. Na Mpira umeisha.
unajifanyisha au?Duh .. yaani K'mbili kafungwa 2-5 na hao minnors!
Hata kushinda na njaa nako ni kushinda pia.Dk45 bado lolote laweza tokea ila Mm naamini simba tutashinda tuu!
msamehe ndio ameanza ushabiki hivi karibunimdau kuwa mpore soka ni furaha siyo kutukanana
minnors wapi!!!Duh .. yaani K'mbili kafungwa 2-5 na hao minnors!
Game on ..Goooool simba1 mcc1