Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
wazo la kuwa na media ya chama ni muhimu sana.... Kula like 1000 mkuu, lakini mkuu hivi sheria zetu zinaruhusu hilo kwa vyama vya siasa kumiliki rasmi media.. Yaani media hii iwe brand kabisa kwa chama fulani.. Karibu kama unafahamu chochote
..miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza cdm waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. Kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. Kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.
..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu nguruvi3. Kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. Hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
Cc mkandara, freeland, rose mayemba, chademakwanza