Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

KAMANDA Rahim Ahmed CHADEMA NI TAASISI KUBWA INA WATU WAKO WELL SKILLED, PALE KUNA KILA AIANA YA ZANA , KILA MTUA ANAMAJUKUMU YAKE, SASA LAZIMA OPERATION ZIZIDI MASHAMBULIZI LAZIMA YAWE KILA KONA YA NCHI, KWA KWELI NASHINDWA KUELEWA AKILI ZA WATU WANAOLINGANISHA TAASISI LIKUBWAAAA KAMA CHADEMA LENYE KILA AINA YA UJUZI THEN ETI WATU WANALINGANISHA CHADEMA NA KA MRADI KA MTU MMOJA, KESHO AKIUGUA BASI?? CCM WENYEWE LEO ULIMI UNAWATOKA CHAMA CHAO KIKO HOI, WANACHI WANAWAIT OKTOBA TU KUTOA MAJIBU KAMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAAA. CHADEMA KIKO WELL ORGANIZED, WAKUU WA POLIS LEO WANATOA TU VIBARI VYA MIKUTANO, MAAANA WALIBANA SASA WANAAACHIA... VIVA CHADEMA
Mkuu Eistein taratibu basi kamanda, lumbumba na vibaraka vyao wakisikia hii matumbo yatahara full, hapa yenyewe hawajiwezi wako full taabani.

Makamanda wamejipanga sasa ni piga kote kote, lazima kila mtanzania asikie neno la ukombozi. Come october 2015, ukombozi kamili utapatikana

viva CHADEMA, peopleeeeeez!
 
mkuu.. hapa zito aliambulia patupu akasingizia mvua....chadema MUNGU MBELE YETU
 
hii misingi iliyojengwa na cdm nchi nzima ni kama kansa ya damu ndani ya mwili wa ccm , sasa ni dhahiri ccm kwisha kazi .
 
wazo la kuwa na media ya chama ni muhimu sana.... Kula like 1000 mkuu, lakini mkuu hivi sheria zetu zinaruhusu hilo kwa vyama vya siasa kumiliki rasmi media.. Yaani media hii iwe brand kabisa kwa chama fulani.. Karibu kama unafahamu chochote

sheria inaruhusu ndio

Na ndio maana kuna redio Uhuru inayomilikiwa na CCM.

Tatizo hapa lipo kwenye kupewa hizo frequency
 
..mengi uliyoyaeleza ni ya kweli.

..lakini hapa lazima tutofautishe mazingira ambayo CCM walijenga mtandao wao, na mazingira ambayo CDM wanajenga mtandao wao.

..kazi waliyoifanya ni kubwa. pamoja na hayo bado kuna kazi kubwa zaidi mbele ya safari
Mkuu kwa hali ya kisiasa nchi huwezi kufikiria kujenga mtandao kama wa CCM hata kidogo. CCM wamerithi Utajiri wake kutokana najasho lako wewe. kama kuna bepari nchini basi CCM ndiye wa kwanza na hivyo vita yako sio kuwa kama wao. Mtandao wao ni mkubwa na urubuni wao ni mkubwa hasa pale fedha inapotumika. Huwezi shindana na Tembo kuny...utapasuka msamba buree!

Hawa CCM wanaweza meza fedha zote za miradi kwa ajili ya chama utashindana nao vipi? isipokuwa kwa unyonge wako kujenga imani za waumini yaani wananchi kuamini kwamba wananyonywa, wanaibiwa, wanatastahili maisha bora zaidi ya hayo walokuwa nayo. Unajua tofauti baina ya Imani ya dini na Siasa ni moja tu. Nayo ni kwamba imani zetu za Dini ni kwa ajili yako wewe mwenyewe unajipima na kutazama mustakabali wa akhera yako kesho maana utahukumiwa wewe pekee na sii kijiji kizima.

Na siasa sio juu yako wewe, ni juu ya wananchi unawaonyesha Uhuru wao ni kitu gani, haki zao kama raia, wanastahili nini na kwamba wasiitazame serikali itawafanyia nini bali wao wataifanyia nini serikali maana maamuzi yao ndio huijenga serikali. Lakini sisi tumeifanya SIASA kuwa ni ulokole wa mtu, kujitangaza kuwa wewe ameokoka kiasi gani na ulifanyiwa mabaya gani kana kwamba kesho kuna hukumu, siasa hazitakiwi hivyo, siasa ni kuwatazama wananchi ukawaahidi wao kuokoka na sio wewe na peponi yao ni hapa hapa duniani hata kama wewe utabakia motoni au maskini.
 
hivi kwa nini hafanyi mikutano zenji hata kwa jina la ukawa? yeye kila siku bara tu? aombe uraia tumpe

Zanzibar tumewaachia wenzetu CUF kwa kuwa wana nguvu kubwa na pia tuna maridhiano nao. Unataka nini wakati tayari tupo ndani ya ukawa. Tulia sindano iingie kwani mlidhani mtaweza kuihijumu cdm kirahisi kupitia wasaliti
 
Wakuu...
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Kamanda Salim Mwalimu kutoka zanzibar anafanya yake ndani ya mkoa wa Njombe muda huu

Watu wamefurika kwelikweli.ni kelele kila kona...
Nawaletea kila kinachojiri hapa.

Safi Chadema, safi Mwalimu endelea hivyo nakutabiria makubwa ya kufurahisha siku si nyingi!
 
The KICKS of the dying ass with their Crazy blind followers,Komaeni na hakikisheni mnashika ile IKULU ya Tengeru ! #TeamTENGERU Oyeeeeee....
 
Mkuu Njombe ilikua ngome ya CCM hivo ilitakiwa kuwe na hamasa kubwa ya kubadili mindset za watu.. kwa hili CHADEMA IMEFANIKIWA PAKUBWA MAKINDA AJUA HILI NDO MAANA KUNA TETESI WANAKA KULIMEGA JIMBO ILI AKAGOMBEE JIMBO JIPYA KIFANYA
 
..miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza CDM waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.

..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu Nguruvi3. kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama Chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.

cc Mkandara, Freeland, Rose Mayemba, Chademakwanza

Mkuu JokaKuu hakika Chadema wamedhihirisha U-bobezi wao kwenye siasa za ushindani za Tanzania. Kimeonyesha ukomavu wa hali ya juu ya kutoyumbishwa na vyama vya mpito... Hivi sasa vijijini wanaijua Chadema. Nilikuwa Newala vijijini vijana, wazee na hasa mabinti na akina mama wanaizungumzia Chadema kama mkombozi wao. Kule Lindi wilaya ya Nachingwea vijiji vya Chimbendenga, Kiegei na Nachingwea (Ni vijijini haswa) nako wanaisema Chadema. Nilifika Lupaso kwa Big Ben, hali ni hiyo hiyo.... Kwa hakika Chadema Chadema haipaswi kurudi nyuma katika kueneza elimu ya uraia vijijini. Na Wanachama tuwe wepesi kuchangia vuguvugu liendelee, mafanikio haya hayajadondoka kama Mana
 
Last edited by a moderator:
Jamaani karibuni saaaaana hapa njombe ndo nyumbani hapa mmefika,karibu saaana nadhani ripoti mmepata kuwa ccm viti viwili tu na chadema viti tisa hapa njombe mjini,mama Anne semamba Makinda alienda siku moja kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura,alifika pale aliwakuta watu wamejihimu toka saa 8 usiku,aliwasalimia kama kawaida kamwene,hawakujibu akarudia tena kamwene hawakujibu,akarudia tena mara ya tatu walijibu wawili tu.Akataka atumie usipika na ubunge wake aingie ajiandikishe.wakamgomea wakasema hapa hakuna na nani wala nani ni foleni tu,mara police wakapigiwa simu kuwa pale kunafujo wakajs wakamwingiza akatoka pale kwa aibu saaana,watu hakika wamemchoka wameapa kwa sanduku la kura safari hii akigombea tena harudi bungeni,mambo mawili muhimu yatafanyika 1 kuhakikisha ssm hawatapata nafasi tena ya kumrubuni mgombea wetu,pili watalinda vituo vyote vya kupigia kura mwanzo wa kuanza kupiga kura mpaka mwisho wa kutangaza matokeo,kama walivyo wabana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaaaaa !!!
 
Back
Top Bottom