Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Jamaani karibuni saaaaana hapa njombe ndo nyumbani hapa mmefika,karibu saaana nadhani ripoti mmepata kuwa ccm viti viwili tu na chadema viti tisa hapa njombe mjini,mama Anne semamba Makinda alienda siku moja kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura,alifika pale aliwakuta watu wamejihimu toka saa 8 usiku,aliwasalimia kama kawaida kamwene,hawakujibu akarudia tena kamwene hawakujibu,akarudia tena mara ya tatu walijibu wawili tu.Akataka atumie usipika na ubunge wake aingie ajiandikishe.wakamgomea wakasema hapa hakuna na nani wala nani ni foleni tu,mara police wakapigiwa simu kuwa pale kunafujo wakajs wakamwingiza akatoka pale kwa aibu saaana,watu hakika wamemchoka wameapa kwa sanduku la kura safari hii akigombea tena harudi bungeni,mambo mawili muhimu yatafanyika 1 kuhakikisha ssm hawatapata nafasi tena ya kumrubuni mgombea wetu,pili watalinda vituo vyote vya kupigia kura mwanzo wa kuanza kupiga kura mpaka mwisho wa kutangaza matokeo,kama walivyo wabana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaaaaa !!!
hahahahahhaa

Kamwene baba
 
Kamanda good, nakushukuru sana kwa ushuhuda huu, tayari hapo njombe ni jimbo la chadema, tuendelee kuhamasisha watu wajiadikishe na wapige kura, naomba umoja huo uendelee, kabisa...mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa maendneleo ya taifa........!!
jamaani karibuni saaaaana hapa njombe ndo nyumbani hapa mmefika,karibu saaana nadhani ripoti mmepata kuwa ccm viti viwili tu na chadema viti tisa hapa njombe mjini,mama anne semamba makinda alienda siku moja kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura,alifika pale aliwakuta watu wamejihimu toka saa 8 usiku,aliwasalimia kama kawaida kamwene,hawakujibu akarudia tena kamwene hawakujibu,akarudia tena mara ya tatu walijibu wawili tu.akataka atumie usipika na ubunge wake aingie ajiandikishe.wakamgomea wakasema hapa hakuna na nani wala nani ni foleni tu,mara police wakapigiwa simu kuwa pale kunafujo wakajs wakamwingiza akatoka pale kwa aibu saaana,watu hakika wamemchoka wameapa kwa sanduku la kura safari hii akigombea tena harudi bungeni,mambo mawili muhimu yatafanyika 1 kuhakikisha ssm hawatapata nafasi tena ya kumrubuni mgombea wetu,pili watalinda vituo vyote vya kupigia kura mwanzo wa kuanza kupiga kura mpaka mwisho wa kutangaza matokeo,kama walivyo wabana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaaaaa !!!
 
Asante my chadema!
Na mungu ibariki chadema!
Mbariki rais slaa !
Mbariki gen:mbowe!
Mbariki prof.safari!
Mbariki jj mnyika!
Mbariki s.mwalim!
Bariki baraza kuu la chadema!
Bariki kamati kuu ya chadema!
Bariki viongozi wa mikoani!
Bariki viongozi wa wilayani!
Bariki kila mkutano unaofanywa !
Bariki hii nchi itoke mikononi mwa mafisadi na iongozwe na ukawa ifikapo october 2015.
 
Mkutano umeanza hapa Njombe kwa watu kumiminika kwa kasi. Ila mgeni wetu rasmi Salim Mwalimu naibu katibu mkuu Zanzibar bado hajafika. Ila Kamanda Rozi Mayemba anawatambulisha makamanda mbalimbali.

Salim Mwalimu ameingia sasa picha nitatuma

attachment.php
attachment.php

attachment.php

Salimu Mwalimu anashangiliwa sana kwa nondo anazozitoa za busara sana
Anaelezea jinsi wanavyoandamwa. Anatolea mfano tukio la Bariadi la kufyatua risasi
Wanainchi washangilia sana Mwalimu akielezea ratiba ya chadema inavyokwenda
Anazungumzia jinsi mchakato wa katiba ulivyoendeshwa kibabe na kuto kuzingatia maoni ya wananchi.
Anaeleza jinsi ccm inavyoligombanisha jeshi la polisi na wananchi. Anamuomba IGP awe makini na mchezo mchafu wa ccm.
Anaiomba tume ya uchaguzi nayo iwe makini sana na huu mchezo mchafu wa ccm
Mwalimu amemaliza mkutano Mungu ambariki sana.
Wanachi wa Njombe wamchangia Mwalimu Tsh 1135000 kwa moyo mmoja naye amelipa jimbo 635000 ziendeleze harakati ndani ya jimbo Mungu mbariki Mwalimu

Kweli cdm ni mpango wa mungu na ukawa idumu daima
 
Kwa nyomi hii bikiroboto hata kama alikuwa anapita angegeuza njia
 
peleka shule kilamahali..mdudu alaye asipate pa kuchomokea
 
Chadema ilishasahaulika mambo yote act.
Makamanda pelekeni somalia tanzania ni uzalendo tu.
 
Back
Top Bottom