Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

Ukombozi unahitaji kujitoa.safi sana wanachadema na makanda ambao kila Sikh wanasafiri kws ajili ya kuwaamusha wananchi wasilale.Mungu awalinde na mabaya yote na awape ulinzi muda wote
 
there is no escape route kwa CCM safari hii maana ya ACT nayo imefungwa
 
Zitto aliisha ifuta Chadema njombe, sasa anaelekea Arusha

Aaauuwiiii Arusha ninayoishi hii hii au Monduli kwa mamvi?!!! Kama anakuja arusha ya raisi Lema?!!! ameingia choo cha kike!! ccm huwa wanaandaa mikutano yenye plau na nyama safi lakini hata ombaomba huwa hawaendi kula!!! Subirini yatakayomkuta atajuta!! Tutakutana hapa hapa!!!
 
Huyu salum Alikuwa kuwachangisha au kuwatapeli tu . sera gani hapo alizo zungumza? Ndoo maana muna ambiwa nyie ni watu wa viroba. Munashabikia upuuzi.
 
Asante my chadema!
Na mungu ibariki chadema!
Mbariki rais slaa !
Mbariki gen:mbowe!
Mbariki prof.safari!
Mbariki jj mnyika!
Mbariki s.mwalim!
Bariki baraza kuu la chadema!
Bariki kamati kuu ya chadema!
Bariki viongozi wa mikoani!
Bariki viongozi wa wilayani!
Bariki kila mkutano unaofanywa !
Bariki hii nchi itoke mikononi mwa mafisadi na iongozwe na ukawa ifikapo october 2015.

Umenikuna sana sana..

Mungu na asikie sala yako!
 
Huyu salum Alikuwa kuwachangisha au kuwatapeli tu . sera gani hapo alizo zungumza? Ndoo maana muna ambiwa nyie ni watu wa viroba. Munashabikia upuuzi.

Sasa kwa mazungumzo haya tu wewe ndio unaonekana bwana viroba. Ungekuja kwenye mkutano
 
Zanzibar tumewaachia wenzetu CUF kwa kuwa wana nguvu kubwa na pia tuna maridhiano nao. Unataka nini wakati tayari tupo ndani ya ukawa. Tulia sindano iingie kwani mlidhani mtaweza kuihijumu cdm kirahisi kupitia wasaliti

sawa, lkn akafanye mikutano huko hata kama kwa kuipigia debe cuf. au aambatane nao katika mikutano yao
 
Back
Top Bottom