Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,403
- 271,863
inatumia muda gani kupiga picha na kutuma
au mpaka adobephotosho itumike ; kuongeza watu wa leo na kampeni ya 2010
kama software aipo ni pm; niwatumie ; ataka watu walikuwa 100 ; wataonekana 17.000
mkuu huku umepotea njia , siasa ni mikakati , siasa si kama njaa kwamba ukila basi umeshiba , siasa ni misingi , kwa jinsi cdm ilivyojitengeneza hata mkidhikiri bila nguo haiwezekani kuibomoa , achana na cdm kabisa endeleeni na njaa zenu .