UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

Wadau nimepita hapa karatu kuna mkutano Wa ACT unaendelea na ulitangazwa sana hapa karatu mjini
 

Attachments

  • 1428844272475.jpg
    1428844272475.jpg
    121.3 KB · Views: 241
Hiki chama ni sawa na vibaraka vya chama cha kijani. Kiongozi mkuu wa chama ndani ya wiki 1. Wametumwa kuivuruga UKAWA, lakini watashindwa tu.
usiandike ili na ww uonekane huwa unashiriki jf tumia akili leo mkutano watatu umeskia wapi ACT wanavuruga ukawa au wanahutubia kuusu ukawa au ndo unatafta umaaruf wa kuongea
 
songen mbele ACT wazalendo tupo nyuma yenu naic wananch tumeanza kkumbuka kaz yako zzk toka nyuma ndo maana tunakufata co ushabik ujaita mtu kwa ngoma bal ni utash wetu uctetereke cku zote mti wenye matunda ndo upigwao mawe tz tumezoea kuchukia mafankio
 
watu wa iringa sio wajinga /Watajiuliza kwa aliikwepa sana mikutano ya namna hii ndani ya CDM? JE ALIKUWA NA LENGO GANI?
 
Hamwajui wanyaru nyie! Watakuja ili wapime kina maji. Kuwabadili msimamo sio rahisi
 
Zitto amewaweza Chadema,kwenye hotuba hata neno CHADEMA halitaji

Hiyo ndio akili, siyo hii minjemba ya upande wa pili inalala na ACT inaamka na ACT kutwa kunyoshea vidole wenzao, haina tofauti na mtu aliyevaa suruali ya viraka!
 
Jamani hakuna wanaorudisha kadi za CHADEMA? Maana they are Against CHADEMA Tanzania
 
Ajira zilizokuwa na manufaa nchini ndio hizi tu yaani ujiunge katika vyama na upate kujineemesha kimaisha kwa kupiga porojo.

Na hapa ndio maana ya CCM kubakia milele madarakani kwani vyama vingine vipo kwa kusudio ya kupunguza wanachama wa vyama ambavyo vinanguvu ambayo inayoweza kuitikisa CCM.

Tumeleleka kinafiki sisi katka nchi kwahivo tupo kama vinyonga yaani ni wepesi wa kubadilika ikiwa maslahi yapo sehemu yoyote na bila ya aibu wala kuona vibaya.

Ubaguzi,ubinafsi hivi ni vitu vinahitaji kiongozi ambae ataviondoa kwa moyo mkunjufu bila ya kujali Dini yake wala kabila lake na bila kujali tumbo lake isipokuwa kumjali Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom