UKAWA ni mdudu gani,mbona hatuoni kwenye document zozote nchini
Wewe ni kipofu? Kama huyo unayemwabudu anakijua ila wewe umeweka plasta machoni na pamba masikioni.
UKAWA ni mdudu gani,mbona hatuoni kwenye document zozote nchini
Wewe ni kipofu? Kama huyo unayemwabudu anakijua ila wewe umeweka plasta machoni na pamba masikioni.
Hiki chama ni sawa na vibaraka vya chama cha kijani. Kiongozi mkuu wa chama ndani ya wiki 1. Wametumwa kuivuruga UKAWA, lakini watashindwa tu.
ACT wasaliti.
ACT wasaliti.
Mwenyezimungu ajaalie mkutano uwe wa amani na utulivu ili somo la uzalendo liwaingie kwa ufasaha wana Iringa.
Wananchi si wajinga kiasi hicho, Mark my words!
Ni kabanja,bullion na Mwl Kaijagwe era..
Mkwere alipata kusema .......changanya na za kwako
Kivipi
mimi hapa ndio nashindwa kuwaelewa ACT na Zitto wao
ACT ni kazi ya kusambaza uzalendo tu
Kuwaelewa kivipi