UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

Uwiiii mwenyekiti mama ana kapanda jukwaani ,wanacheza jukwaa kuu tu watu wameduwaa wanashangaa tu,mwenyekiti anatoa historia za wakoloni yaani ni shidaaa amekua km komedi

Haa ha ha naona roho inakuuma kijana, sikiliza darasa hilo.Hili turudi kwenye misingi ni lazima turejee historia yenu.

Ndio siasa za hoja zinavyokuwa.Sikiliza tu uelimike.
 
watu wamekuja kwa lengo maalum mkuu,mbona hawashangilii,kipo kajikundi kidogo tuu kamewezeshwa hapo katikati

Chama ndio kinaanza watashangilia baada ya kukijua chama, jambo la kwanzq ni kukitambulisha chama.Ndio kazi yao ya kwanza.
 
watu wamekuja kwa lengo maalum mkuu,mbona hawashangilii,kipo kajikundi kidogo tuu kamewezeshwa hapo katikati

Ulifanya wapi kikao kukubaliana kuja kwa lengo maalum?watu wanamfahamu Zitto, wamesikia Zitto ni m.sa.li.ti-, hawaamini, wamekuja kumsikiliza.Ndio hatua aliyo nazo Zitto, baada ya kipindi hicho kwisha ndipo watamfuata.Ni stage muhimu sana hii.Na katika stage hii kikubwa anachohitaji ni kusikilizwa.

Kwa hoja za Zitto mtakavyoondoka hapo utabaki na wenzako wachache, wengi watatoka wakiamini Zitto sio m.sa.li.ti bali ni mzalendo.
 
View attachment 242610
hata Mrema alikuwa na mbwebwe zaidi ya hizi za Zitto lakini mwisho wake tuliona ngoja tuone ACT na nguvu zao za soda watafika wapi.
 
watu wamekuja kwa lengo maalum mkuu,mbona hawashangilii,kipo kajikundi kidogo tuu kamewezeshwa hapo katikati

Hujui kwamba mwanzo wa kuelewa ni kusikia na kuona? Ha ha ha unajidanganya watu wamekubali kuja maana yake kunakuwa badiliko ktk mind set yao polepole...bora mngewazuia wasije kabisaa? Ili wasipewe maziwa wanayopewa hapo..mmh
 
Haa ha ha naona roho inakuuma kijana, sikiliza darasa hilo.Hili turudi kwenye misingi ni lazima turejee historia yenu.

Ndio siasa za hoja zinavyokuwa.Sikiliza tu uelimike.

siasa ni mchezo mchafu,miaka ya nyuma cdm walikua wanajaza watu sana kwenye mikutano yao na wakati wa kura wanaambulia patupu,sembuse act ambao hata hawapigiwi hata kofi moja!.,makofi yanatoka katikati kwa watu walio andaliwa tu!.
Zzk anatambua huzuni anayokumbana nayo ila ni siri yake!.mafanikio sio lelemama
 
Huu ndio mkutano wa Kwanza wa ACT - Wazalendo mjini Iringa kwa level ya Kitaifa, mnataka wawe na nguvu kama CDM? Duh! Hata kama mna hofu, Hii sasa Sifa....!
 
Watu wanawashutumu kwamba nyinyi mpo kwa ajili ya kuuvuruga upinzani, mnaliongeleaje hili?
Lengo kuu la kuanzisha vyama pinzani ni nini basi? Kushambuliana vyenyewe kwa vyenyewe? Naomba niainishie sera zenu hapa, ni namna gani mtaenda kumkomboa mtanzania toka kwenye lindi kubwa la maradhi, umasikini na ujinga. Ni namna gani mtaenda kukabiliana na rushwa kubwa na ufisadi ulio tamalaki? Nilitumani mngekuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi kumbe imekua tofauti na badala yake mmekuwa mstari wa mbele kupambana na upinzani pia. Nyinyi ni chama tawala au ni chama cha upinzani wa wapinzani?
Vyama vya upinzani ni vingi Tanzania na kila kimoja kina sera na malengo yake ambayo yanajumuisha lengo la kushika dola. Sasa ugumu unakuja pale mnapolazimisha vyama vyote vya upinzani kuwa chama kimoja. KWAKWELI YATAWASHINDA!
 
Maduka ya Ushirika leo!!!!???? Sera za Ujima za Ujamaa zilizomshinda Nyerere!!?? Ngoja tusubiri, kesho Zitto anaweza kutuambia tuanze upya tena Vijiji vya Ujamaa!!!???
 
Zzk anaomba hela ya mafuta,na bado !
Watu wanaondoka wanasema hamna jipya bali habari ya hapa mujini ni ukawa au chadema baaasi!.,kwa kweli wanapata huzuni mioyoni ila ni siri yao
 
Huu ndio mkutano wa Kwanza wa ACT - Wazalendo mjini Iringa kwa level ya Kitaifa, mnataka wawe na nguvu kama CDM? Duh! Hata kama mna hofu, Hii sasa Sifa....!
watu wamekuja kushuhudia mtalaka wao,waseme wameuza kadi ngapi leo!.,usaliti utawafikisha pabaya
 
Inawaumiza sana hii Chagadomo! Walitegemea Zitto atapoyea kisiasa lakini eanacho kishudia hawaamini macho yao.
 
Zzk anaomba hela ya mafuta,na bado !
Watu wanaondoka wanasema hamna jipya bali habari ya hapa mujini ni ukawa au chadema baaasi!.,kwa kweli wanapata huzuni mioyoni ila ni siri yao

Kwel huzuni yako ni siri yako,ninaweza kuelewa jinsi roho inavyokuuma

blogger-image--112472084.jpg

blogger-image--1576606954.jpg


blogger-image--872592626.jpg


CHAMA CHENYE WIKI MBILI TU TOKA KIZINDULIWE
 
Back
Top Bottom