RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Hakika TISS ni kiboko, wamezalisha ACT, wanajua udhaifu wa ZZK hivyo wamempa kazi ya kuhakikisha kuwa anazunguka nchi nzima kwa maslahi ya CCM ... Kamati zilizokuwa zinaandaa mikutano ya Kinana ndo hizo hizo zinazofanikisha mikutano ya ACT... Police wameambiwa watoe ushirikiano wa kutosha hadi usiku wa manane! Yeyote mwenye kuuliza maswali magumu kwa ZZK akamatwe mara moja ...