manga mseke
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 470
- 90
Hiki chama ni sawa na vibaraka vya chama cha kijani. Kiongozi mkuu wa chama ndani ya wiki 1. Wametumwa kuivuruga UKAWA, lakini watashindwa tu.
Huyu maswi ni swa na nguruwe pori akuna mwenye hati miliki na jimbo
Na ukawa ndio nini
