Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.
Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.
Nna uhakika ataufyata.
There are currently 715 users browsing this thread. (207 members and 508 guests)
:A S-coffee:
huu mwezi wa toba zaidi ya kushiba futari naona hauna manufaa mengine kwako...roho mbaya/chuki ndiyo kwanza vinaongezeka...Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.
Jamaa waliompa kichapo walifanya kazi nzuri sana, artistically, kichapo cha maana bila kumtoa roho. Ilikuwa ni kumshikisha adabu tu ajuwe na wagonjwa wanaumwa vipi. Naona atakuwa sasa kaelewa kuumwa ni nini.
Nna uhakika ataufyata.
najua umeumizwa sana na tukio la leo.ni vyema ukazoea kwani matukio ya namna hii yatakuwa mengi kabla ya 2015.Enhee, aelezee alikwenda kupokea rushwa usiku au ilikuwaje? ana mengi ya kujibu. Maan kuitwa bar usiku eti mkaongee kuhusu mgomo na yeye anakwenda tu? haiingii akilini unles kulikuwa kuna element za rushwa.