Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Kuwa mpole na ushukuru hata kupata hiyo SMS kwamba maombi yako yamepokelewa maana kuna wenzio hata hayo majibu kama yako hawajapata nao sijui wawe na hali gani shukuru then subiri kinachofataAisee mimi nilitumiwa hiyo msg j4 by saa9 hivi sasa sijui kitakachoendelea