ukichunguza sana haya mambo... tuta taka hata interview za majeshi... zifanyike utumishi... nk... hakuna sehemu isiyo na urasimu.... kuna mdau aliweka uzi hapa akitaka ufafanuzi toka utumishi kwa blanda waliyo ifanya kwa kupachika jina la mtu ambaye hakuwepo... kuna interviw nyingine ilikuwaga ni ya TBS mwaka jana pia, ile screenshot ilitembea sana ktk mitandao ya kijamii... ikionesha kuwa mwenye wastani wa 40s akichukuliwa lakini mwenye wastani wa 50s akiachwa kuendelea na usaili wa pili...
utumishi hakupo clean kama tunavyo aminishwa na kwakuwa wanao hudumu kule ni binadamu kama sisi, sizani kama wapo sahihi asilimia 100...
hacha watende makosa ili na sisi zamu yetu ikija au watoto wetu ndugu zetu... wakija shika hatamu, nazani na sisi tutakuwa na sauti wakati huo....
hakuna linalo shindikana... nyie endeleeni kupaza sauti, mna weza mka sikika ila sisi wengine hacha tuendlee kufukuza mwizi kimya kimya... maana tuna aminishwa kutokana na imani zetu kulalamika ni dhambi...!
Tushukuru kwa kila jambo, kila jambo lina kusudio lake...