Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,529
- Thread starter
- #121
vipi wamekuita?Wakuu majina hayo hapo
Yes mkuuvipi wamekuita?
Mbona ni reasonable mkuu 177 kwa 7 unashangaa wakati utumishi 250 alafu nafasi nu mojaMadriver 380 nafasi 12
Medical attendant 177 nafasi 7 mmh! Kazi ipo
Nachotaka kusikia kwako ni je umeitwa mkuu?...... we una roho nzuri sana kiongoziMbona ni reasonable mkuu 177 kwa 7 unashangaa wakati utumishi 250 alafu nafasi nu moja
Hizi sikubahatika mkuu wameniambia sijakidhi vigezo wacha wakapambane wenzetu walobahatika mkuuNachotaka kusikia kwako ni je umeitwa mkuu?...... we una roho nzuri sana kiongozi
Inshallah..... ila hzi za Tanapa amini nakwambia utaitwa na kazi tutapata.....Hizi sikubahatika mkuu wameniambia sijakidhi vigezo wacha wakapambane wenzetu walobahatika mkuu
Ameen mkuuInshallah..... ila hzi za Tanapa amini nakwambia utaitwa na kazi tutapata.....
NjiroHivi hicho chuo cha uhasibu Arusha kipo sehemu gani?
Umechanganya na ya TANAPA, hii ni Ngorongoro litumwa kwa posta.Wangapi mmeombea kwenye portal mmeitwa??