Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

Ni kweli kabisa ngoja tusubili, tuone kama tutaitwa kwenye usahili.
 
Hiyo message ni kuonyesha kuwa maombi yako yamepokelewa. The Next message itakuwa in this format " Ndugu ABC tunependa kukufahamisha kuwa umefanikiwa kuitwa kwenye usaili utakaoendeshwa na mamlaka ya Hifadhi ya ngorongoro mnamo tarehe.... mahali fulani.

Au Ndugu ABC tunapenda kukutaarifu kuwa maombi yako yaliyopokelewa hayajakidhi vigezo, usisite kuomba wakati mwingine.

So vijana hiyo ni kuonyesha kuwa maombi yako yamepokelewa tu na si vinginenevyo.
 
Ila wana moyo, kukaa chini na kuwatumia sms watu elfu na kitu kwa kupokea maombi tu
 
Back
Top Bottom