Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,529
Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro imeanza kuchambua maombi ya kazi ambazo zilitangazwa. Tayari wameanza kutuma Text msgs kwa waombaji ambao wanakidhi katika kada walizoomba.

Kama kuna feedback zozote tujuzane kupitia uzi huu.
=====================

UPDATES:
Watu wameshaanza kuitwa kwenye usaili kwa waliomba kati katika Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro, kwa kujua zaidi kuhusu usaili pitia hapa; Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA)
 
Screenshot_2018-01-16-17-32-49-1.png
 
Nakumbuka zilinishinda wakati wa utumaji,dah imekula kwangu
 
Msiwazie sana unaweza ukatumiwa SMS na usiwe shortlisted
 
Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro imeanza kuchambua maombi ya kazi ambazo zilitangazwa. Tayari wameanza kutuma Text msgs kwa waombaji ambao wanakidhi katika kada walizoomba.

Kama kuna feedback zozote tujuzane kupitia uzi huu.
mimi mwenyewe wameni tumia inamaana interview uhakika au wame toa tu taarifa
 
mimi mwenyewe wameni tumia inamaana interview uhakika au wame toa tu taarifa
 
Back
Top Bottom