Nimekupata
Kanda ya kaskazini oyeee hahah mcheza kwako Hutunzwa
Tatizo umepanick mkuu relax nenda website ya UTUMISHI Majina yapo hapokiongozi mbona majina hayaonekani kwenye hiyo link
pole mkuu,Nimetumiwa SMS kuwa maombi yangu hayajikz mahtaji ya tangazo
Pamoja ndugupole mkuu,
pole kiongozi, Hata mimi nimetumiwaHata mmi nimetumiwa muda huu Maombi yangu hayakidhi vigezo
Haha noma sana hapo UTUMISHI anasimamia show utaskia tu pepa ikipitaNaona Wakali wa Hizi kazi ndio wamepewa Jukumu la kusimamia show ya Usaili.., niwatakie kila lakheiri katika Usaili wenu kwa wale mliobahatika kuitwa, zingatia kuwa Usaili wa kuandika ni sawa na Vita hivyo ni Vema maandalizi yafanyike inavyostahili!!!
kiongozi mbona majina hayaonekani kwenye hiyo link
Ndo mana nimetoa angalizo mapema, mana hukawii kuja kusikia kuwa Maswali hayapo kwenye Syllabus!!!Haha noma sana hapo UTUMISHI anasimamia show utaskia tu pepa ikipita