Kuwa na subira mkuu,kwa BOT INTERVIEW unaweza ukasubiri hata miezi 6,mimi nimeishawai kufanya interview mbili,written na oral,una apply kazi leo,then unasubili hata miezi sita ndio wanakuita,kwa ufupi wanautaratibu mrefu wa recruitment,
kwa ushauri kidogo kwenye interview ya oral,inakuwa na panelist kati ya watano mpaka wanane,kila mtu anakuuliza swali moja,na ni maswali yaliojikita zaidi katika ufahamu wako kuhusu BOT,BOT nini,wanafanya kazi gani,na mambo kama hayo.cha muhimu ni kukaa standby tu,kingine kizuri nauli yako unarudishiwa kama umetoka mikoani nje ya DAR.