Updates kuhusu BOT

Updates kuhusu BOT

Kwa maana ya comments zenu, inaonyesha the whole system ya nchi ni corrupt; hivyo basi inatakiwa kufanyiwa overhaul.
 
Watu wanaoomba ni wengi sana hivyo lazima mshindanishwe ktk shortlist sio ili mradi unavyeti vinavyohitajika ndio wakuite tu basi ikiwa hivyo wangeitwa wote walioomba maana nina imani kila aliyeomba alikua na sifa zinazotakiwa upande wa elimu. Kama haukuitwa basi fight another way kwani ni BOT tu ndio uliomba hukuitwa uko kwingine kila ulipoomba ukaitwa?
 
Ndugu yangu aliomba nafasi pale kwa kujaribu tu na alipata. Na mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako lakini nilikuja kuyafuta baada ya mtoto wa mfugaji kupata nafasi pasipokujuana na mtu yeyote na cheti chake cha form six na JKT, sasa hivi ni security guard pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom