Update yanayo jiri kwenye interview

Update yanayo jiri kwenye interview

Sikupata ile ila humu nadhani wapo walopiga hiyo pepa ila tembea humo nilipokupa mwanga hawawezi toka zaidi ya humo kwa accounts assistant nakuhakikishia ukitoka lazima uje una kenua humu pia usisahu calculator just in case.kila la kheri
Maswali yalikuwa kama ifuatavyo
Qn1 Explain the meaning and importance of bank reconciliation
Qn2. Mention and explain accounts balances that normally used in positive circulation. Ila hili swali sikumbuki vizri kma lilikuwa hivyo but something like that people they can correct me

Qn3 Explain the importance of cashflow statements

Qn4 Explain the meaning of the following terms
I/ accrual basis
ii/consolidated financial statements
iii/costs

Chakushangaza wa kwana amepta 61
 
Sio magumu sema revision huenda kulikuwa hakuna ngoja nipige msuri nilikuwa nataka mwanga tu. By the way asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom