Update yanayo jiri kwenye interview

Update yanayo jiri kwenye interview

Mkuu hawa jamaa imebidi tu tuwafate mguu kwa mguu kujua zaidi juu ya kile kilichotokea. Majibu yao ni kwamba nafasi 11 zilizotangazwa zilitangazwa kimakosa na walifanya marekebisho ikawa nafasi 1 badala ya 11. Kwa hiyo selection ya watu 4 wenye ufaulu wa alama 90 na 80 umezingatia uwiano wa nafasi moja tu. Tuliendelea kuwauliza kuwa kama mlifanya marekebisho ya nafasi kutoka 11 hadi 1 kwa nini walishindwa kuujulisha umma, hapo walikosa majibu sahihi badala yake waliendelea kutuomba tu samahani kwa kusema makosa yametendeka kwa kushindwa kuujulisha umma kwa Wakati.

Badala ya majibu hayo sisi tuliondoka kwa kushukuru tu kwa yote yaliyotokea. Kwa sasa tunajiandaa na maandalizi ya kurudi mikoani tulikotoka tukaendelee na harakati za kutafuta riziki. Bado naamini Kesho yetu ni kubwa sana pia nimejifunza jambo kutokana na kilichotokea bila kuangalia HASARA tulioingia mifukoni.
Pole sana mkuu ila ni moja katika njia za kutafuta hili nalo litapita mkuu kesho yetu itakuwa vizuri naamini maana katika hii dunia kila mtu ridhiki yake huja kwa wakati wake hasara ni moja ya mapito ya opportunist hata uki invest lazima ukubali hasara pia bila kuwa unaangalia faida tu pekee.
 
Ukweli mkuu. HASARA ni sehem ya utafutaji
 
Hawa jamaa wanapaswa kujitafakari upya hasa kipengele cha usahishaji wa hyo mitihani for sure sina Iman nao kabisa ikiwa majbu niliyoandika kwenye paper baada ya kutoka naenda kuyahakiki kwenye daftri na kwenye mtandao unakuta tofauti labda ni point moja tu kwa kila swali inakuwaje napta marks za kiwango kile? Daa wanakera sana kingine ikiwa wako Fair ule umati wa watu sio rahisi kufanya marking ndani ya masaa 24 tayr wametoa majbu hata kma wanagawana hizo kazi by professional. Ikiwa utumishi wanalalamikiwa cjui sasa tuende wapi? Bado michezo michafu inafanyika sana no transparency as it was expected. Daa chozi la samaki huenda na maji
 
kama kuna mtu alifanya written ya office assistant naomba nipate maswali yake
 
Hawa jamaa wanapaswa kujitafakari upya hasa kipengele cha usahishaji wa hyo mitihani for sure sina Iman nao kabisa ikiwa majbu niliyoandika kwenye paper baada ya kutoka naenda kuyahakiki kwenye daftri na kwenye mtandao unakuta tofauti labda ni point moja tu kwa kila swali inakuwaje napta marks za kiwango kile? Daa wanakera sana kingine ikiwa wako Fair ule umati wa watu sio rahisi kufanya marking ndani ya masaa 24 tayr wametoa majbu hata kma wanagawana hizo kazi by professional. Ikiwa utumishi wanalalamikiwa cjui sasa tuende wapi? Bado michezo michafu inafanyika sana no transparency as it was expected. Daa chozi la samaki huenda na maji
Pole sana ila inabidi uwe specific. Unaenda kwenye interview na ukagundua mlioitwa ni wengi kuliko mahitaji inabd uwe straight yaaan iwe ni written au oral basi mention only na usilete mbwembwe maana wao sio waalimu waanze kusoma maelezo yako ila kama wadahiliwa mko wachache basi jiachie na usilaze damu..
 
Swali linakutaka explain and not mention au unaambiwa describe in details sasa utamenshen?
 
Swali linakutaka explain and not mention au unaambiwa describe in details sasa utamenshen?
Private ni sawa maana wanachambua na kubakiza watu wachache na government nikwa nafasi za juu tuu. Huwezi ukawa na watu 200 halaf uwaambie explain tena kwa maswali 6
 
Mimi ndo nilishakataa huu mchezo wa kuitana kama watoto wadogo. Afu majibu wanachaguliwa watano ambao hawakwepo hata kwenye interview haaaa. Sijawah kuchukua hata cheti chuo ntaenda siku nikiwa na gari langu hata kama ni mark x.
 
Hongera mkuu but usichoke kupambana na kuzidi kuinua vijana wenzio ili nao wapate mwanga kama wako maana wengine hata hapo ulipopata pakuanzia wewe hawana ndo tatizo
Sio hawana pa kuanzia,uthubutu vijana wa kileo hawana hakuna maisha mazuri bila kupitia changamoto.ukidhamilia kutoboa pambana na Mungu ni wa wote wenye mwili
 
Kwa serikalini maana yatakuwa yanashabihiana
Kama utumishi komaa na Bank reconc,GAAP,Subsidiary Books(Zote 6 kama si 7) like petty cash,Journal etc,Depreciation of fixed asset,Accounting Ratio,Cost Flow Method,F.S,Correction of Errors,TISS,Classification of accounts

Kaza humo nimechambua baadhi ya pepa za Utumishi kama 6 hivi huwa maswali yako based humo pia usisahau pepa linaweza geuka likaja la general knowledge kila la kheri mkuu.
 
Watu wamevunja kabati mbaya
 
972b79b044c0bb91f01702fb79cdaa2d.jpg

Mambo ya Ngorongoro hayo
Hii interview imefanyika wapi kwani
 
Kama utumishi komaa na Bank reconc,GAAP,Subsidiary Books(Zote 6 kama si 7) like petty cash,Journal etc,Depreciation of fixed asset,Accounting Ratio,Cost Flow Method,F.S,Correction of Errors,TISS,Classification of accounts

Kaza humo nimechambua baadhi ya pepa za Utumishi kama 6 hivi huwa maswali yako based humo pia usisahau pepa linaweza geuka likaja la general knowledge kila la kheri mkuu.
Asante mkuu maana najiandaa hapa na interview UDOM na sijawahi hudhuria interview
 
VP hujapata zilizofanyika NCAA accounts assistant ilikuwa dizaini gani
Sikupata ile ila humu nadhani wapo walopiga hiyo pepa ila tembea humo nilipokupa mwanga hawawezi toka zaidi ya humo kwa accounts assistant nakuhakikishia ukitoka lazima uje una kenua humu pia usisahu calculator just in case.kila la kheri
 
Back
Top Bottom