Update yanayo jiri kwenye interview

Update yanayo jiri kwenye interview

cutt off huwa ina enda na namba ya uhitaji katk kila kada na namba ya walio faulu usaili.... kwa nafasi moja huwa kwa kawaida wana gombea watu watatu... hivyo kwa nafasi 10 walitakiwa kuendelea na watu 30; na mkifikisha zaidi ya maksi 50 watu 200 wataangalia wale 30 walio kuwa wame faulu vizuri zaidi ndio wataendelea nao...

na baadae katika kuitwa kazini vipaumbele kama mmefungana maksi huwa wenye umri mkubwa, wanawake ndio huwa wana kipaumbele...
 
Mkuu angalia hapo kwa TECHNICIAN - AUTOMOTIVE utaona kilichofanyika. Wameselect watu 4 tu wenye 90 hadi 80 kuna watu wapo na 75 wameachwa. Mahitaji ilikuwa watu 11
 
Mkuu angalia hapo kwa TECHNICIAN - AUTOMOTIVE utaona kilichofanyika. Wameselect watu 4 tu wenye 90 hadi 80 kuna watu wapo na 75 wameachwa. Mahitaji ilikuwa watu 11
kuna mdogo wangu nae kapata wastani mzuri lakini ndio hivyo hawa kumjumhisha ktk awamu ya pili... nili shangaa lakini imebidi tukubari waliyo yaweka
 
kuna mdogo wangu nae kapata wastani mzuri lakini ndio hivyo hawa kumjumhisha ktk awamu ya pili... nili shangaa lakini imebidi tukubari waliyo yaweka
Kada gani hiyo mkuu.

Mimi nachoshangaa tu ni kuona wanachukuliwa watu 4 wenye alama 90 hadi 80 na kuacha watu wako na alama 75 huku mahitaji ya nafasi ilikuwa 11
 
Ila vitu kama hivi vinawakatisha vijana katika utafutaji from Dar to Arusha alafu unakutana na mazaga kama haya 75% mtu unaachwa mmmh kweli Mungu ana plan zake nae
 
Bro tafadhari naomba msaada hapa.... nimepata taarifa toka kwa walio fanya usaili leo kuwa... kuna walio fanya usaili wa tanapa hapo hapo chuo cha uhasibu je ni kweli mlitangaziwa hili....

shukrani
Sio kweli mkuu
 
Ila vitu kama hivi vinawakatisha vijana katika utafutaji from Dar to Arusha alafu unakutana na mazaga kama haya 75% mtu unaachwa mmmh kweli Mungu ana plan zake nae
Mkuu hawa jamaa imebidi tu tuwafate mguu kwa mguu kujua zaidi juu ya kile kilichotokea. Majibu yao ni kwamba nafasi 11 zilizotangazwa zilitangazwa kimakosa na walifanya marekebisho ikawa nafasi 1 badala ya 11. Kwa hiyo selection ya watu 4 wenye ufaulu wa alama 90 na 80 umezingatia uwiano wa nafasi moja tu. Tuliendelea kuwauliza kuwa kama mlifanya marekebisho ya nafasi kutoka 11 hadi 1 kwa nini walishindwa kuujulisha umma, hapo walikosa majibu sahihi badala yake waliendelea kutuomba tu samahani kwa kusema makosa yametendeka kwa kushindwa kuujulisha umma kwa Wakati.

Badala ya majibu hayo sisi tuliondoka kwa kushukuru tu kwa yote yaliyotokea. Kwa sasa tunajiandaa na maandalizi ya kurudi mikoani tulikotoka tukaendelee na harakati za kutafuta riziki. Bado naamini Kesho yetu ni kubwa sana pia nimejifunza jambo kutokana na kilichotokea bila kuangalia HASARA tulioingia mifukoni.
 
Back
Top Bottom