zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,486
- 1,712
Mkuu haya maisha smtym n km bahat sijuiItakuwa ni vizuri mkuu ukatoa hata kasomo kidogo juu ya hilo hakika utakuwa umesaidia vijana wengi hakuna anaependa kutumikishwa ila hali haziruhusu hasa ukifatilia maisha mtu atokayo usikute labda wewe wakishua ebu wafungue vijana kipi na kipi wafanye ili wajikwamue ukiacha zile theory za kina shigongo ambazo nyingi ni nadharia zaidi.
Nilipo maliza chuo ktk harak za kutafuta kaz nilipiga interview3 zote hawakuniita mpk Leo
Sasa nikaapa sitafuti tena kaz,kun jamaa Yangu alikuwa anachana mbao Kagera(muleba) anauzia Mwanza na Geita sasa mie ktk kuangaika nikamwomba niende nifanye hata utalii Ka ndan akakubali
Kuna msemo mkaa Bure sio sawa na mtembea Burr
Nikazama zangu kwa mwana nikawanafwatana nae kila anapo tafuta msitu na pia kila akiwa akiwa anawapelekea Wateja wake mbao Mwanza na Geita nani naunga ikafika kipindi nikawa nimewazoea wanunuzi na jamaa wanao chana mbao huko polini nikaanza udalali
Kwa bahat nzur kuna jamaa anaitwa Mzee pale Geita n mwana wangu pia ana gar
Sasa trip ya kwanza nilipo anza pata kamtaji kuna jamaa Geita alikuwa anataka mbao 2000
Mie nilomjuza kuwa nitakununulia hzo mbao kwa Bei ya huku ambayo 4by2 walikuwa wanauza kwa 5000 3by2 kwa 4000 nikamjuza hvyo ila kwa bahat nzur Mimi nilimpata MTU anauza 4500 na 3500 4by2 na3by2 so ktk kila ubao nikawa na faida ya 500x2000=1000000
Gar mpk Geita laki8 Mzee nikambeleza akanifanyia laki6 laki2 ikawa Yangu
Kibar nilikatia Bukoba mjini kwa 300 hakuna cha pesa ya ukaguzi elfu40 ikawa Yangu
Mzigo nikamfikishia akanitoa laki2 kwa maana angempelekea mwingine angemuuzia 7000 kwa kila ubao so yeye hakuliwa nani nikapata faida
Tangu siku ile nikapata ya kuanzia MTU akitaka mzigo namtafutia nauli ninayo nikimfikishia mzigo analipa
Mpk mtaji ukafika 4ml kwa muda mwez Tuu
Jamaa Yangu alikuwa na insawa nilianzaga kwa kununua msitu kwa kwanza kwa 1.5ml operation ilicost 1ml na ushee ile msitu nilipata hakika niliuza mzigo kwa Mteja Wa Mwanza km 6ml na usher nikawa rasmi na mtaji km 8ml HV
Mpk nilipo kuja fungua site Yangu na kununua mashine zangu
Ila toka mwaka Jana mwezi wa7 mambo yakaanza badilika biashara ikawa hovyp kabisaa
Awali nilikuwa nikishusha mzigo Wa fuso unakaa WK moja au siku kadhaa ila ukaanza kukaa mpk mwezi ikawa hasara *****
So bado tunapambana hvyo hvyo ila design n km na misitu muleba imeishaa HV nikahamia nyehunge,bupandwa na rwenzera nako nikaona chenga nw nataka nihamie iringa huku ndio nachek raman
