#COVID19 Update USA: Madhara ya chanjo yaliyo waziwazi

Wafuasi Wa CHADEMA wote watachanjwa mana Mbowe alisema Rais inabidi afanye kuchanja ni lazima na si hiari
 
Mwishoni umeweka uzushi kwani Delta imeingia Tanzania kabla ya chanjo. Hauna uthibitisho wowote kama chanjo inaeneza virusi vya corona. Post ikifutwa uanze kwalalamikia Mods.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uongozi wa jamiiforums mkiondoa hii habari mtakua mnashiriki moja kwa moja katika kuficha ukweli kwa watanzania kuwa hizi chanjo bado hazijaiva...

Ukweli ni muhimu ili watengeneza hizi chanjo warudi maabara upya
 
Back
Top Bottom