Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu


Kama kila mtaalamu wetu angetumia utaalamu wake kwa maslahi ya wote, kama ulivyoamua wewe kufanya, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Ahsante kwa kujitoa kwa ajili ya wote!
 
Safi sana kaka malalamiko yalikua mengi mno na hivi vifushi jamani unapewa gb kibao lakini zina isha fasta kama zina peperushwa na upepo wa kisulisuli tumechoka kuonewa kaka hongera sana naunga mkono juhudi.
Ikiwezekana kama kitakua kikao huru kwa walaji wote sitakosa kuhudhuria Barikiwa sana.
 
Kweli inapoona mambo flani katika nchi yanakwenda sahihi jua kuna watu waliopigania na pengine wao kua katika matatizo ili wewe unufahike
Haya mambo sikuwai kuyaona hata sikumoja ila eatel wameanza kutekeleza maagizo
Yani ukiishiwa bando sasahivi kabla ya kuendelea unaulizwa kama utatumia salio la kawaida au unajiunga
 
M sign hii petition, Wakili Bashiri Yakub ameianzisha....

Wakili Bashir Yakub anayashitaki makampuni manne ya simu. Kusoma maelezo ya petition na kuweka sahihi yako, tumia link ifuatayo:

Signez la pétition

Sambaza ujumbe huu kwenda groups zako zote na mitandao ya kijamii.
 
bashir Yakubu naanza kuamini umeshapewa kitu kidogo ndugu yetu....teh teh teh hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Kuna mwanasheria alikuja na wazo la kuyashtaki makampuni ya simu tz kwa sababu ya kuweka kikomo(Limited time) kwenye manunuzi ya bando baada ya kununua,alifikia hatua nzurii kidogo na alitupa mrejesho sisi wanajukwaa na kongole nyingi tulimpa.
Siku hizi hatujuzi kafikia wap na kesi inaendaje,Tafadhari braza kokote uliko tuambie kipi kinaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…