Kwanza kabisa hakuna consensus ad idem kati ya provider na end user...hizo term provider alishazi tengeneza prior, kwa mtumiaji wa mwisho zinakuja as they are, you take it au you leave it.Ndugu mkataba unakitu kinaitwa either ‘consensus in idem’, consideration au value of exchange.
Hizo ni terms zinazo specify utatoa nini na kupata nini, muuza chips kama ajakuwekea muda wa kumaliza kula awezi kukufukuza, halikadhalika ukienda restaurant ambazo zenye table booking kwa muda, time ikifika you would have to leave ata kama ujamaliza.
Kwenye kifurushi unaelezewa wazi what you will get in usage at a charge, that is the contract there is the time limit in the package.
Kuna watu kila jambo wanapenda kulijaza ujinga. Umemjibu apaswavyo!!Huwezi mnyanganya sahani kisa muda wa lunch umeisha, halafu sio contract Law Ni "Law of Contract"
wewe utakuw Lumumba ndio hawana kili ya kufikiriUsifananishe mpambano wako na kampuni za simu na magonjwa, ugonjwa wowote ni hatari kwa afya yako ndo maana unauwa, we umeleta hoja punguza mbwembwe
Consesus an Idem is not independent in contract law it is used to justify the existence of an ‘offer and acceptance’ rules, it is part of the elements which must exist for a contract to be deemed valid.Kwanza kabisa hakuna consensus ad idem kati ya provider na end user...hizo term provider alishazi tengeneza prior kwa mtumiaji wa mwisho zinakuja as they are, you take it au you leave it.
Ndo mana wakili msomi anataka ku challenge. Mara nyingi Mahalama huwa ina interpreate hizo terms zilizotengenezwa bila bargaining in favour of the weaker party ( contra referendum rule).
The idea is to compare contractual terms kuonyesha kinachofanywa na haya makampuni ya simu siyo unique Tanzania pekee that is the sales strategy in global telecommunications.Lete wa Tanzania mzee huo uk huku hautuusu alafu ukitaka kufanya Jambo makini usijipime kwa mzungu jipime kwa mizan ibalance sawa
Hapo uliposema “ukitaka chukua, ukitaka acha” ndio misingi ya mkataba wowote wa manunuzi; hakuna anaelazimishwa, hila ukinunua inabidi ukibali matokeo.Nakubaliana na wewe but mtu akiona ananyonywa kwa terms ambazo haku negotiate kuzitengeneza na ukaona zina kubana, sheria inakuba fursa ya kuzichallane( contra prefferundum rule).
Consusus iliopo kati ya provider na end user is not obtained ina free will of both parties....yaan "ukitaka chukua ukitaka acha".
Kwa ulivyoandika tu inadhihirisha we ni mdau wa makampuni ya kinyonyaji....hata Kenya wakili aliambiwa anapoteza muda ila matokeo yake yameonekanà...by the way huwa nasikitika sana kuona mwajiriwa anashirikiana na mwajiri kunyonya wengine...maana mwajiriwa siku ajira ikiisha anaondolewaga kama takatakaBiashara ya telco kwa vifurushi ni ya muda.. kwa jinsi gharama zinavyo shuka tutarudi kwenye Pay As You Go . Kwa hiyo kesi yako haina mashiko kabisa utapoteza muda wako.
Kwa kasi ya technolgy na urahisi wa mambo kutakua na baishara za aina mbili.
1. Wavivu kununua vocha wataenda kwenye post paid
2. Wakwangua vocha watapiga on demand ( Pay as you go).
Vifurushi tutawachia supermarket.
Na hili la kutoa matangazo yao kwa kukusikilizisha limo kwenye mikataba pia kuwa tupokee matangazo yao bure?It depends on the offer kama nauza buffet eat as much as you want kuanzia saa saba mchana mpaka saa nane. Aina maana kwa sababu hupo ndani ya mgahawa uendelee kula muda ukiisha.
Issue hapo ni what is being offered, kifurushi kina muda na expire time na hicho ndio unachonunua (what is being offered) kutumia kiasi fulani cha dakika na data ndani ya muda maalum kwa bei husika.
Ikiisha muda wa value of exchange given on the offer bye bye aijalishi umetumia nini.