UPDATE: Kipindi Kipya cha Television (Cha Uchunguzi)

Kwa wenye roho nyepesi-Picha zinaweza kuwaogopesha.Pia hii kazi imerekodiwa studio hivyo ilikuwa haijafanyiwa croma key kubadilisha background.lakini ujumbe ndiyo huo:Hivyo mnaweza kutazama hii kipindi hapa chini

Last edited by a moderator:

Anafanywa nini? anatahiriwa?
 
Last edited by a moderator:
Novemba 18,2012 iliyopita tulirusha kipindi cha barua kutoka kanda ya Ziwa kuhusu tukio la maziko na harakati za kumuenzi Kardinal Laulian Rugambwa. ambao hawakutazama channel ten siku hiyo wanaweza kutazama hapa chini.

Last edited by a moderator:
Barua kutoka kanda ya ziwa leo tunaangazia tatizo la unyanyapaa kwa waathirika kwa UKIMWI.husikose ni channel ten saa 12:00 jioni Leo hii.
 
Kipindi cha 'Barua kutoka kanda ya ziwa' kitaendelea leo kama kawaida Channel ten saa 12:00 jioni .Husikose kwani leo tunachunguza biashara ya uvuvi haramu katika ziwa victoria.

karibu
 
Back
Top Bottom