Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

Halafu huko ulikosoma hukufundishwa kuwa raia ana uhuru wa kutoa maoni yake? Ana uhuru kudai? Ana uhuru wa kukosoa? Km ni maandamano yashafanywa sana na vyama vya kisiasa na vyombo vya usalama vikawatawanya lkn hawakuwekwa mahabusu miaka km hawa mashekhe na wao pia walihatarisha Amani ya nchi ila kwasabb pengine ni ndugu moja wanaachiwaga ila mtu ana uhuru wa kufanya chochote ktk nchi yake akiwa havunji sheria za nchi.... Nonsense
Uhuru wa kutoa maoni sio kuchochea vurugu, hapo lazima uelewe, toa maoni yako kwa ustaarabu bila kuhatarisha uhuru wa mwingine au huelewi hapo? Wale mashekhe hawakuwa mashekhe ni wapumbavu fulani.
Kama dini ingekuwa inasambazwa kwa chuki kama zile basi NIGERIA WOTE WANGEKUWA WAISLAM kisa BOKO HARAM.
 
Ndio matunda ya upumbavu, inafanya unatesa familia zao. Kwahiyo wauaji waachiwe kisa familia zao zinateseka au huko mahabusu wanateseka? Wewe una akili kichwani?
Halafu naomba ufahamu wawe wakosaji au wasiwe wakosaji shida ni miaka 9 bila kuhukumiwa ni dhulma ya kwanza kwa serikaki hiyo hata km kesi ni ngumu kiasi gani.. Baada ya kutajwa juzi na jana hao mashekhe ndo mahakama pia ikafuta mashtaka kutoka 25 mpk kufikia 11 wasingekuwa wanatajwa tangu majuzi masiku yangekua yanapita au fanya kitu kimoja isaidie serikali kuhusu hiyo kesi ili hao jamaa wanyongwe au wahukumiwe tujhe moja wanashindwa na kitu gani kwani??
 
Waambie basi wawanyonge mbona hawawanyongi?au hawana akili kama yako?hatuzungumzii ushekhe wao wala makabila yao we talking about human rights here you stupid!
Ndio maana nimesema hapo juu. Huruma ya JK tu. Kama Rais ningekuwa mimi hata huko mahabusu wasingefika, ningehakikisha naweka mambo sawa kama KIBITI mapema sana.
 
Uhuru wa kutoa maoni sio kuchochea vurugu, hapo lazima uelewe, toa maoni yako kwa ustaarabu bila kuhatarisha uhuru wa mwingine au huelewi hapo? Wale mashekhe hawakuwa mashekhe ni wapumbavu fulani.
Kama dini ingekuwa inasambazwa kwa chuki kama zile basi NIGERIA WOTE WANGEKUWA WAISLAM kisa BOKO HARAM.
Nani amechochea vurugu?au wao ndo wamebatizwa jina hilo kuwa ni wachochea vurugu? Je wamempiga askari?wamefanya kitu gani hasa? Na km kweli hao mashekhe ni wachocheaji vurugu na wako powerful kiasi cha wao kuwekwa ndani wafuasi wao wangeliamsha kisawasawa lkn hao walimu wawatu hata wangesema miaka hakuna wa kuwapa nchi yao wala wa kuwasikiliza na kusingetokea kitu chochote znz ila nadhani uislam wao ndo unawaangamiza walitakiwa wasijiingize kwny siasa kali km zile
 
Ndio maana nimesema hapo juu. Huruma ya JK tu. Kama Rais ningekuwa mimi hata huko mahabusu wasingefika, ningehakikisha naweka mambo sawa kama KIBITI mapema sana.
Ndio maana hukuwa wewe au mungu hakukupa nafasi ya jk kwasababu anajua huiwezi hapo ulipo ndo mtihani mungu anaoona unakufaa kutokana na akili yako na nguvu zko ukipewa zaidi ya hapo binadamu na nchi na vingine vitaangamia
 
Halafu naomba ufahamu wawe wakosaji au wasiwe wakosaji shida ni miaka 9 bila kuhukumiwa ni dhulma ya kwanza kwa serikaki hiyo hata km kesi ni ngumu kiasi gani.. Baada ya kutajwa juzi na jana hao mashekhe ndo mahakama pia ikafuta mashtaka kutoka 25 mpk kufikia 11 wasingekuwa wanatajwa tangu majuzi masiku yangekua yanapita au fanya kitu kimoja isaidie serikali kuhusu hiyo kesi ili hao jamaa wanyongwe au wahukumiwe tujhe moja wanashindwa na kitu gani kwani??
Hiyo ni kidogo sana. Wakae angalau miaka 30.
 
Hujiulizi kwa nini Mashekhe wamepelekwa Mahakamani wakati wa utawala wa Mama,kwa nini miaka tisa yote kwa siku moja wamefutia makosa 14,ndio ujue swala lao limegubigwa na uonevu mkubwa.
Unamzungumzia Maalim Seif wamemzurumu haki zake miaka yote ulitaka wamfunge maisha
 
S
Sio kweli mm ni mkristo nimeishi nao sana wa Islam ni watu wema tatizo ni wale wenye Marengo ya kisiasa kupitia dini
Umesema vyema sana mimi pia mkiristo na rafiki zangu wengi na ambao wako karibu kama ndugu ni waislam na ni wema sanakwangu na dini zetu hazitufanyi tusiaminiane hata kama natumia ID isiyo jina langu halisi lakini naona kuandika vibaya juu ya dini ya rafiki ndugu jirani humu mtandaoni wakati kwenye maisha ya kawaida ananiona mwema si kitu kizuri maana wabaya wapo bila kujali dini zao
 
Ndugu hawa kunyooka ni ngumu iv unawajua wenye msimamo mkali ww
Serikali ipo macho,wakirudia tena washughulikiwe barabara.ogopa sana kukaa jela ndugu watu huwa wananyooka ndani ya mwaka tu na kujutia makosa yao.WAMEJIFUNZA WAACHIWE WARUDI TUJENGE NCHI miaka 9 jela si mchezo yaani wewe ni wa kupelekwa mahakamani na kurudishwa yaani hiyo ni psychological torture inayomfanya mtu abadilike
 
HAPA NAPITA maana kuachiwa kwao kunanukia lakini madai yao ya kutaka zenj ijitenge watayarudia tu na kujitenga na Tanganyika
Hapo ndipo patakuwa patamu
kwa nini mnalazimisha muungano wakati wenzenu hawataki?
 
Hao watu wakatwe vichwa vyao si wa kuwaacha mtaani. UISLAM HUO HAUPO KOKOTE DUNIANI. MIMI NI MUISLAM SAFI KABISA ILA KWA HAO WAKATWE VICHWA VYAO. ALLAH (S.W) hajatupa elimu ya dini ili tulete mgawanyiko bali tuwasaidie wale wasiojua waweze pata kujua. Walikuwa wanatumika kisiasa badala ya kidini. Binafsi hata wakiachiwa mimi nitapambana mpaka niwe RAIS na nitume watu wakawatengue viuno vyao.

Upuuzi kama huu si wa kuuchekea hata kidogo. Gharama ya kuitafuta AMANI ni kubwa mno kuliko kuwapiga risasi za vichwa hao magaidi. Kuwaacha ni UPUMBAVU wa kiwango cha juu mno.

Mnaowatetea jaribuni kufatilia video zao YOUTUBE utapata mwanga fulani kuwa hawa si watu wa dini. Tunao mashekhe wa muda mrefu, Shekhe Sule, Mazinge, Khishki, nk wanajielewa mno. Wanakupa darsa na unaelewa juu ya ALLAH (S.W) pamoja na mtume wake Muhammad (S.W.A).
kama wewe ni muislamu kweli basi umepotea tubu kwa mola wako kama haya yanatoka moyoni.
 
weka ushahidi hao masheikh wa uamsho wako upande wa chama gani.....unaongea uongo,zile cd zao nimewahi kuziona hawakuwahi kukinadi chama chochote bali kuwakusanya wazanzibar bila kujali chama na kudai wajitawale hawataki muungano.

Wanatuchafulia dini yetu. UISLAM NI DINI HAKI NA AMANI.
Nguzo zetu ziko wazi kabisa
1. Shahada
2. Swala
3. Zakat
4. Swaum
5. Hijja (kwa mwenye uwezo)
Hata ukiangalia nguzo zetu za Iman bado unaona haki na amani kwetu wanaadam.
M/mungu katupa hekimu na busara katika kutatua changamoto zetu sio mtu anasambaza chuki kwa wenzake. Hata wakati wa Mtume wetu Muhammad kulikuwepo na wasioamini na wakalinganiwa wakasilimu na hivyo ndivyo inavyotakiwa lkn si kuanza kusambaza chuki baina yetu kwa mlengo wa kisiasa hiyo haikubaliki na lazima wawajibishwe.
 
Mama ajiandae kuna watu watamjaribu sana awamu hii pamoja na uchizi wake wote mwendazake aliwadhibiti vilivyo ma-extremist... Leo hii tunaanza kushuhudia hadi msemaji wa uamsho anakuja jf anatoa mrejesho wa kesi... Ishu sio udini maana uamsho walikamatwa enzi za JK
shura ya maimamu sio uamsho.
 
Back
Top Bottom