Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

Noboka

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
1,248
2,000
Wakristo ndo mnashupalia hili swala wasiachiwe eti wataleta shida...wewe kabla ya kukamatwa walileta shida gan?
Kwenye hili unatuonea sisi wakristo, kwanza kumbuka hawa walikamatwa enzi za JK na Dr. Shein ambao wote no Waislam. Roho mbaya haichagui uwe Mkristo au Mwislamu, mhimu hawa masheikh watendewe haki
 

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,576
2,000
nikusifu tu ww ni hafidh Qur'an allah akubariki sana

pumba nyingine ni out of content

hujua hata maudhui ya kesi za mashekh wetu
makosa yafanywe nchi nyingine uje uwekwe rumanda tena miaka tisa nchi nyingine? hayiingii akilini

chaajabu hadi leo hawajapatwa na hayo makosa.
Nenda ukatoe ushahidi.
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
11,944
2,000
Itakuwa Samia ana nia ya kuwachia maana wale akina Gwajiporn sio rahisi kutamka Bungeni vile atakuwa walisha mezeshwa maneno ili ionekane ni hoja kitoka kwa Wananchi.
 

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,576
2,000
Unafahamu kilichowapata miaka yote 9 gerezani hao masheikh? Je kilicho wasibu familia zao? Je biashara zao? Je muda wao? Je kwanini kwa muda wa miaka 9 hawakupata hukmu yao km wakosaji? Je sheria inasemaje ktk hilo?ni kweli wakosefu? Ni magaidi? SIKU NYINGINE WW MJINGA UACHE KUANDIKA UPUUZI UTACHEKWA NA WAJUKUU SIKU ZA USONI!!!
Kama hujui ama unajua kilichowapata na vp kuhusu familia na mambo mengine ndio nawewe ujifunze jinsi ya kuheshimu sheria, kuepuka kujiingiza katika vitendo vinavyo weza kutafsiriwa kama uvunjaji wa sheria na ukitiwa mikononi ndio utajua umuhimu wa kuishi kwa kufuata utaratibu wa sheria.
 

GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,817
2,000
kwanini wanatumia UDINI? kuwamwagia watu Tindikali na kumuua Padri
acha ujuha mnakorofisha mnakimbilia Bara na kununua ardhi, safari hii tunafufua G55 na hata mjifiche kwa kuoa tutawachomoa waOman wote na machotara wao mrudi kabisa mkawe watwana huko Oman tumewapa zamu kutawala kwa amani bila UDINI sasa vunjeni Muungano
unau ushahidi wewe acha kuropoka,hauna uwezo wa kuwarudisha oman utabaki kuota tu na chuki za kupandikizwa makanisani.
 

dahalani

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,796
2,000
Hao watu wakatwe vichwa vyao si wa kuwaacha mtaani. UISLAM HUO HAUPO KOKOTE DUNIANI. MIMI NI MUISLAM SAFI KABISA ILA KWA HAO WAKATWE VICHWA VYAO. ALLAH (S.W) hajatupa elimu ya dini ili tulete mgawanyiko bali tuwasaidie wale wasiojua waweze pata kujua. Walikuwa wanatumika kisiasa badala ya kidini. Binafsi hata wakiachiwa mimi nitapambana mpaka niwe RAIS na nitume watu wakawatengue viuno vyao.

Upuuzi kama huu si wa kuuchekea hata kidogo. Gharama ya kuitafuta AMANI ni kubwa mno kuliko kuwapiga risasi za vichwa hao magaidi. Kuwaacha ni UPUMBAVU wa kiwango cha juu mno.

Mnaowatetea jaribuni kufatilia video zao YOUTUBE utapata mwanga fulani kuwa hawa si watu wa dini. Tunao mashekhe wa muda mrefu, Shekhe Sule, Mazinge, Khishki, nk wanajielewa mno. Wanakupa darsa na unaelewa juu ya ALLAH (S.W) pamoja na mtume wake Muhammad (S.W.A).
WEWE MI KAFIRI HUJUI CHOCHOTE KWENYE UISLAMU
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,837
2,000
unau ushahidi wewe acha kuropoka,hauna uwezo wa kuwarudisha oman utabaki kuota tu na chuki za kupandikizwa makanisani.
unawajua UAMSHO?
Uamsho - Wikipedia
walianzisha kitu tofauti na mashambulizi ya tindikali na kudai Nchi katika makosa yaliyobaki ni UHAINI tu
au uko kutetea ujinga tu hicho kisiwa waarabu koko watakisikia tu
1619622733021.png
 

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,255
2,000
weka ushahidi hao masheikh wa uamsho wako upande wa chama gani.....unaongea uongo,zile cd zao nimewahi kuziona hawakuwahi kukinadi chama chochote bali kuwakusanya wazanzibar bila kujali chama na kudai wajitawale hawataki muungano.

kwa hiyo walichokifanya hicho ni kidogo?
 

Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
3,137
2,000
CARDLESS, post: 38861380, member: 426307"]
Hao hawatoki mpka kifo chao
[/QUOTE]
wewe si Mungu uijuayo kesho,ww endelea kula ubwabwa wa bakwata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom