Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,570
2,000
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

KESI YA MASHEIKH LEO JUMANNE TAREHE 27. 04. 2021, MAHAKAMA KUU DAR

Leo Mashekh wamefikishwa tena Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza mashtaka 11, yaliyobaki kwenye kesi baada ya kufutwa yale 14 mengine.

Hata hivyo shauri halikuzungumzwa kutokana na upande wa Jamhuri kushindwa kutimiza masharti yayotakiwa katika uamuzi ulitolewa Ijumaa.

Aidha baada ya hukumu ya tarehe 23/04/2021, iliyowapa ushinda mkubwa Masheikh kwa kufuta mashtaka makubwa 14, kati ya 25, yanayowakabili, upande wa Jamhuri walitakiwa leo kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11, badala ya ile ya awali yenye mashtaka 25.

Hata hivyo upande wa Jamhuri haukutekeleza matakwa hayo ya kisheria na badala yake wameomba muda zaidi ili wapate kuyatekeleza.

Kufuatia hali hiyo Jaji ameakhirisha shauri hilo mpaka kesho saa 8 mchana ambapo wametakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kisheria.

Aidha Shura ya Maimamu inawakumbusha wananchi kuwa karibu na mashauri haya ili kujifunza mambo kadhaa ikiwemo mfumo wetu wa Sheria, Uongozi na dhana ya Utawala Bora.

Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812*
Cc: Mama
 
CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,588
2,000
weka ushahidi hao masheikh wa uamsho wako upande wa chama gani.....unaongea uongo,zile cd zao nimewahi kuziona hawakuwahi kukinadi chama chochote bali kuwakusanya wazanzibar bila kujali chama na kudai wajitawale hawataki muungano.
Ni PURE CUF ile kindakindaki.
 
SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,196
2,000
Hawa wakitoka inabidi wawekwe kwenye radar ,mambo ya kuhamaisha uvunjifu wa amani ni hatari,wakitoka wapewe masharti ya kutotenda kosa lolote la jinai kwa kipindi cha miaka mi3,wakitenda kosa within hicho kipindi waende ndani straight.
Wale wenzao wa Mombasa walikula chuma wote...
 
TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,959
2,000
in
Wasiachie ao wataleta shida kwenye nchi yetu. ikiwezekana wanyongwe tuu
onekana ni kwa jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kupambanua mambo na jinsi ulivyo na roho mbaya na mdini.
Tanzania ni yetu sote. Haki itendeke kwa wote.
 
sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,182
2,000
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

KESI YA MASHEIKH LEO JUMANNE TAREHE 27. 04. 2021, MAHAKAMA KUU DAR

Leo Mashekh wamefikishwa tena Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza mashtaka 11, yaliyobaki kwenye kesi baada ya kufutwa yale 14 mengine.

Hata hivyo shauri halikuzungumzwa kutokana na upande wa Jamhuri kushindwa kutimiza masharti yayotakiwa katika uamuzi ulitolewa Ijumaa.

Aidha baada ya hukumu ya tarehe 23/04/2021, iliyowapa ushinda mkubwa Masheikh kwa kufuta mashtaka makubwa 14, kati ya 25, yanayowakabili, upande wa Jamhuri walitakiwa leo kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11, badala ya ile ya awali yenye mashtaka 25.

Hata hivyo upande wa Jamhuri haukutekeleza matakwa hayo ya kisheria na badala yake wameomba muda zaidi ili wapate kuyatekeleza.

Kufuatia hali hiyo Jaji ameakhirisha shauri hilo mpaka kesho saa 8 mchana ambapo wametakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kisheria.

Aidha Shura ya Maimamu inawakumbusha wananchi kuwa karibu na mashauri haya ili kujifunza mambo kadhaa ikiwemo mfumo wetu wa Sheria, Uongozi na dhana ya Utawala Bora.

Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812*
Mkuu, unaweza kutuambia kwa usahihi namba ya kesi ili iwe rahisi kuifuatilia na kusoma maamuzi.
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,764
2,000
Hao wasiachiliwe hata kidogo. Na kwa ninavyofahamu kesi yao itapigwa kalenda mpaka mmoja baada ya mwingine anakufa. Unajua kule Zanzibar hasa kule pemba ambako ndio masikini sana huwa wanajiona kama ni waarabu fulani hivi, hivyo ukiwajaza ujinga tu wanakuja barabarani kana kwamba wanajua kitu. Hakuna kuachiwa. Ni mwendo wa Chuma tu. Hawa ndio aina ya watu wale wa KIBITI ukikuta unaweka chuma ya kichwa.
Nimeelewa aisee
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,837
2,000
Ni taasisi inayojitegeme haihusiani na bakwata.
kwanini wanatumia UDINI? kuwamwagia watu Tindikali na kumuua Padri
acha ujuha mnakorofisha mnakimbilia Bara na kununua ardhi, safari hii tunafufua G55 na hata mjifiche kwa kuoa tutawachomoa waOman wote na machotara wao mrudi kabisa mkawe watwana huko Oman tumewapa zamu kutawala kwa amani bila UDINI sasa vunjeni Muungano
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,933
2,000
Hivi hii kesi ya hawa Mashekh hadi sasa ina muda gani ‘ ?
Almost miaka 9; waliwekwa mahabusu enzi za Alhaji JK.

Back to the topic; ukiona mara nyingi serikali imemuweka mtu ndani kwa muda mrefu bila kumpeleka mahakamani then ujue haina USHAHIDI wa kukufanya ufungwe; Imagine wana sheria bado wanaomba muda wa kwa ajili ya kesi ambayo wanayo since awamu ya nne kipindi cha pili, hadi leo wanajiandaa? Which means muda wote huo hao masheikh wapo ndani, serikali ilikua haijui KOSA lao? I think imefika wakati sasa tutengeneze sheria ya kuwashtaki watu wanao wapotezea muda wenzao, this is stupid
 
JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,219
2,000
Ndio maana nimesema hapo juu. Huruma ya JK tu. Kama Rais ningekuwa mimi hata huko mahabusu wasingefika, ningehakikisha naweka mambo sawa kama KIBITI mapema sana.
Au Kama Kenya walivyofanya kule Mombasa na mambo yakatulia
 
CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,588
2,000
Almost miaka 9; waliwekwa mahabusu enzi za Alhaji JK.

Back to the topic; ukiona mara nyingi serikali imemuweka mtu ndani kwa muda mrefu bila kumpeleka mahakamani then ujue haina USHAHIDI wa kukufanya ufungwe; Imagine wana sheria bado wanaomba muda wa kwa ajili ya kesi ambayo wanayo since awamu ya nne kipindi cha pili, hadi leo wanajiandaa? Which means muda wote huo hao masheikh wapo ndani, serikali ilikua haijui KOSA lao? I think imefika wakati sasa tutengeneze sheria ya kuwashtaki watu wanao wapotezea muda wenzao, this is stupid
Wale wamedekezwa ilikuwa wanapigwa Risasi mchana kweupeeee. Huko mahabusu ilifaa walale kwenye chumvi na kila siku wawe wanatobolewa na pini matundo madogo madogo kicha wakalazwe kwenye sakafu iliyowekwa chumvi, angalau kwa miaka 15 hivi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom