mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Usiseme hivyo, siamini uwezo wa Polisi wetu. Wakisikia ulichosema wanaweza kumkamata Bashe na kumweka ndani kwa kufanana na huyu jamaa!
Usiseme hivyo, siamini uwezo wa Polisi wetu. Wakisikia ulichosema wanaweza kumkamata Bashe na kumweka ndani kwa kufanana na huyu jamaa!
Kama ni hivyo basi Marekani kuna magaidi wengi sana mkuu aina kama ya Hamza.Yule ni gaidi aliyepania kuterrorise (kutia hofu) jamii ya polisi bila kujali yupi kamfanyia ubaya au yupi hahusiki. Hakuwa akilenga polisi fulani mwenye ugomvi naye kulipiza kisasi. Hakuwa na lengo la kuiba au kunyang’anya.
Ugaidi ni Kuua/kujeruhi jamii fulani kwa lengo la kuwatia hofu kubwa na kuvuruga shughuli na maisha yao kwa ujumla. Sio mashambulizi yote ya risasi ni ya kigaidi hata yakiwa mengi. Lengo ndilo hubainisha ugaidi au la.
Polisi waanze kukaa chonjo. Watanzania wengi ni watu wema lakini sio wote ni “wapole”. Yule ni mmoja tu tena kajiendea recklessly. Sasa kizazi kipya kinaingia taratibu. Siku kagenge ka “vichaa” wawili watatu hivi walionyanyaswa na polisi wakiamua kufanya maangamizi kwenye target maalum itakuwa tabu sana.
Sawa ni gaidi je alikuwa anafanya ugaidi kushinikiza kitu gani kitimizwe?Gaidi ni mtu yeyote ambaye anafanya mauaji kwa imani zake ziwe za kisiasa au dini. Huyu sio mwizi ni gaidi tupende tusipende.
usiogope tuna mawakili imara sanaWacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.
Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi ........