Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,744
- 103,500
Umeandika kwa makasiriko sana 🤣Wakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.
Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.
Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!
Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
Kunywa maji kwanza, hakikisha n masafi na salama ili upunguze stress ulizonazo