Upande wa pili Wanafosi mwaliko kwanini

Upande wa pili Wanafosi mwaliko kwanini

utakuwa na asili ya uchoyo na wala sio mwislamu bali umezaliwa na wazazi waislamu.
Waislamu na wakiristo wamekuwa wakishirikiana kipindi kirefu sana na hakuna anayefosi mwaliko.
Yaa huwa tunatamaduni kualikana ila siyo mpaka sasa unakodi na kanzu kabisa 🤣ya kwenda kulia ubwabwa ila wengi wanasema pilau la waislamu huwaga tamu sana na mara nyingi sikuku ya kama eid nyumba nyingi huwaga wanapikaga chakula kingi sana na kisha kugawa baadhi kwa majirani
 
Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
Eid wanaosherekea ni wachache supply ndogo, demand ya mialiko inakuwa juu.

Christmas ni kama kila mtu anasherekea, supply ni kubwa, huwa hakuna mialiko. Haijalishi dini, popote pale unajialika mwenyewe hata ukisogea kwa jirani nyumba ya pembeni unakutana na pilau.
 
Back
Top Bottom