sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane.
Ukipita mitandaoni comment nyingi unakuta wanasema Mbosso ni msanii mpole na mstaarabu hata ikitokea kausishwa na ugomvi basi itasemwa kuwa anaonewa.
Ameshausishwa na magomvi mengi lakini amekuwa akiwai kujisafisha hivyo upande misingi ukibaki kuchafuka.
Mbosso ni bingwa wa kuandika na kuimba lakini ni bingwa zaidi wa unafki na ufitinishi.
Yamoto band ilipovunjika alizunguka na kuwaachia mimavi wenzie kuwa wao ndio chanzo yeye alikuwa hataki kundi life. Akaonekana yeye mzuri. Mpaka leo Aslay na Mkubwa Fella hawapo vizuri.
Inadaiwa kuwa alikuwa chanzo cha ugomvi wa Chege na Diamond alipeleka maneno ya uongo kwa Diamond fitna kwake si mwiko.
Alikuwa na bifu na demu wa Aslay mwanadada Tessy chocolate. Mwanaume unamchukia demu wa mchizi wako.
Inadaiwa pia alikuwa anapeleka maneno ya Harmonize kwa Diamond.
Alikuwa anamchokoza chini chini Marioo, Mario alipojibu public yeye akageuza kuwa anachokozwa.
Alishawai fanya hivyo kwa Jaymelod.
Kama ilivyokuwa kwa Tessy kwa sasa haziivi na Zuchu. Kawaida yake kugombana na mashemeji zake. Nimeona anahojiwa na ICU kina maimatha anaulizwa kuhusu Zuchu shemeji yake anakenua tu anafurahia.
Inadaiwa amempora Chino Wanaman mwekezaji wake. Fitna juu ya fitna.
Mmeona alichomfanyia Ennock Bella?
Collabo yake na Aslay inasuasua kwa sababu ameshaanza kutangaza mapema kuwa nyimbo anaandika yeye na Aslay anamuogopa. Always yeye yupo vizuri.
Alikuwa swaiba wa familia ya Diamond full kujipendekeza na ufitinishi.
Tuendelee kuinjoi muziki mzuri wa ep yake huku tukiujua upande wa pili wa Mbosso.
Adiós!