Upande wa pili wa Edward Lowassa

Cynically Kikwete is the kingpin of Dowans. The evil trio of Kikwete, Rostam and Lowassa are what essentially called the "Vinara wa Ufisadi Tz". You just can't get beyond these b'coz their hands and networks are so wide and complex.
 
Todate ndie mwana ccm pekee aliyepingana na dhana ya kilimo kwanza, yeye anasisitiza sana kuwa "elimu kwanza" ktk hili la elimu/kilimo sioni cdm ,cuf, nccr na uvccm wakitupatia dira sahihi kwa hoja zaidi ya lowasa.

Kumbukeni baada ya bunge la samwel sitta dan tido mhando aliwagonganisha vichwa pinda na lowasa ktk jambo hili, lowasa huku akijua msimamo wa serikali juu lipi lianze yeye alilipinga la kuanza na kilimo tena ni baada ya rais kuhutubia kuvunja bunge.........

Kwa hiyo ninaungana na wale wanaikubali hoja hii ya mwenye mada kuwa hata kama tunamuona kachafuka bado anabaki ring leader kimaono ktk awamu hii tuliomo.
Nasisitiza , "aliyekosea ni yule aliyethubutu na asiyekosea ni yule ambaye hajathubutu" huwezi kukosea kama hujatenda lolote ktk uhai wako........

Sawa anaweza kuonesha msimamo wa peke yake, lakini anafanya jitihada gani kusukuma system iende huko anakofikiria yeye? tatizo kubwa hapa ni motive ya Lowasa. theory moja inasema, na mimi naiamini, kwamba ana malengo ya urais. ile blunder ya Richmond/Dowans inamweka pabaya. anafanya kazi ya ziada kujisafisha na kuhakikisha kwamba mifumo ya serikali na chama inamsafisha. na ndio maana leo utamsikia anaongelea ajira kwa vijana, na mambo mengine kama hayo. lakini ukiangalia matendo yake wakati akiwa waziri mkuu, yanapingana kwa kiasi kikubwa na msimamo huu wa kuongeza ajira kwa vijana. kulitumbukiza taifa katika mikataba feki inaligharimu taifa kwa kiasi kikubwa sana na kupunguza uwezo wake wa kutengeneza ajira. Yeye ndio the brains behind Mkwere, hivyo yuko responsible na kadhia hii. lakini kwa ujanja wake, anatuzunguka kujikosha aonekane yeye ni msafi kwa kutoa kauli kama hizo, ambazo hazichangii chochote katika kubadili muktadha wa taifa.

Just what is driving Lowasa? maslahi ya taifa? I am not convinced. I smell a rat... even when he suggested dialogue in the Arusha saga...I smelled a rat.
 
lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact

kweli sasa naona hela zinafanya kazi...

Lowasa yupi huyo?

Shule za kata ...
Je zina walimu??
Je zina maabara??
Je zina maktaba??
Je zina nyumba za walimu??
Je zina madawati???

Huu ni wizi tuu!!!

Usimamizi mzuri.. Upi huo????
Richmond??
Dowans???
Atcl????
Wizi ttcl???
Epa???

Hana cha maana wala hatakumbukwa kwa lolote lile... Ni mwizi na fisadi mkubwa sana..
 
Lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact

Na ukimweka na PINDA anakula percent ngapi? Sikujiua mwizi anakubalika akifanya viwili vitatu vinavyovutia! nilidhani mwizi ni mwizi tu hata kama kaiba aaf kamjengea babake nyumba!!! Once said: two wrongs don't make it right bra!
 
You guys, 'what is shule za kata?'. Have u seen the necta results and compare with what you r teln us! A school without education is wastage of time. Most students who performed 0 from kata schools have wasted their time, now can you propose where to take them?
 
For this one, I for one ninamfagilia White Hair kwa hili..he can make decision...regardless of the outcome but amekuwa akifanya maamuzi.....Mnyonge mnyongeni ilahaki yake mpeni
 
Labda kwa kuangalia baadhi ya waandishi wanasemaje kuhusu uongozi tutaweza kumtazama huyu mtu.
Katika pitapita nimekutana na hii, je hapo anarank wapi? manake wanasema kiongozi lazima
AWE ANACHOSEMA, ANACHOTAKIWA KWA TABIA ZAKE NA MWELEKEO WAKE (mi nampa Lowasa 0%)
AJUE ANACHOTAKIWA KUFANYA KATIKA KAZI YAKE, ANAOFANYA NAO HIO KAZI NA JINSI YA KUIFANYA KAZI (90%)
AFANYE ANACHOTAKIWA KAMA KUONGOZA, KUTEKELEZA MAJUKUMU NA KUHAMASISHA (50%)
QUOTE
.........'The basis of good leadership is honorable character and selfless service. In your followers' eyes, your leadership is everything you do that effects the organization's objectives and their well-being. Respected leaders concentrate on
what they are [be] (such as beliefs and character)
what they know (such as job, tasks, and human nature)
what they do (such as implementing, motivating, and providing direction).
What makes a person want to follow a leader? People want to be guided by those they respect and who have a clear sense of direction. To gain respect, they must be ethical. A sense of direction is achieved by conveying a strong vision of the future.'....... UNQUOTE


SEVEN PERSONAL QUALITIES FOUND IN A GOOD LEADER
1. A good leader has an exemplary character. It is of utmost importance that a leader is trustworthy to lead others. A leader needs to be trusted and be known to live their life with honestly and integrity. A good leader "walks the talk" and in doing so earns the right to have responsibility for others. True authority is born from respect for the good character and trustworthiness of the person who leads. (0%)
2. A good leader is enthusiastic about their work or cause and also about their role as leader. People will respond more openly to a person of passion and dedication. Leaders need to be able to be a source of inspiration, and be a motivator towards the required action or cause. Although the responsibilities and roles of a leader may be different, the leader needs to be seen to be part of the team working towards the goal. This kind of leader will not be afraid to roll up their sleeves and get dirty.(0%)
3. A good leader is confident. In order to lead and set direction a leader needs to appear confident as a person and in the leadership role. Such a person inspires confidence in others and draws out the trust and best efforts of the team to complete the task well. A leader who conveys confidence towards the proposed objective inspires the best effort from team members.(60%)
4. A leader also needs to function in an orderly and purposeful manner in situations of uncertainty. People look to the leader during times of uncertainty and unfamiliarity and find reassurance and security when the leader portrays confidence and a positive demeanor.(20%)
5. Good leaders are tolerant of ambiguity and remain calm, composed and steadfast to the main purpose. Storms, emotions, and crises come and go and a good leader takes these as part of the journey and keeps a cool head.(40%)
6. A good leader, as well as keeping the main goal in focus, is able to think analytically. Not only does a good leader view a situation as a whole, but is able to break it down into sub parts for closer inspection. While keeping the goal in view, a good leader can break it down into manageable steps and make progress towards it.(0%)
7. A good leader is committed to excellence. Second best does not lead to success. The good leader not only maintains high standards, but also is proactive in raising the bar in order to achieve excellence in all areas.(0%)


Lakini ni kweli Lowassa ni bora kuliko hao wengine waiopo sasa madarakani
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa
Kuna wakati natafakari sana uwezo wetu wa kufikiria unavyotofautiana.
Umeleta hizo fikra zako kwetu tena publicly kwa maslahi ya nani?? na unataka jamii ijifunze nini kwa mtu ambaye he never regret madhara aliyosababisha?? Una maana gani kusema kwamba tuhubiri mazuri yake wakati tunajua a wolf will always be a wolf ndugu. Hata umvike ngozi ya kondoo will always hold a wolf teeth, heart and insticts. Wadau wengi wamekujibu hapa in dramatic way lakini mimi nimefikiria who is behind your back unapoandaa hizi tafakuri zako kwenye thread hii.
We spared him for a while and we will get him to heels tukishamalizana na dowans.
Nakusihi ukae chini na kufikiria upya kitu unachotaka kujenga kwenye jamii. Kosa lililofanyika kwa JK hatutaki litokee tena.
 
Mabaya aliyoyafanya Lowasa ni Makubwa kuliko hayo mazuri
Mazuri aliyafanya kwa kukusudia na Mabaya aliyafanya kwa kukusudia
Mtu kigeugeu na Mnafiki hawezi kuwa mzuri hata siku moja
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

RUDI KAMWAMBIE JAMAA HAWAINGILIKI NA HOJA HIZO!!.....

:sorry:
 
Hapana..hata kama ana mazuri..it is enough..kwani hakuna Watanzania wengine wanaoweza kuiongoza nchi hii jamani zaid ya Lowasa na Kikwete?!!!!!!!!!!!!!!!!..tusiwe na mawazo mgando kiasi hicho....
 
Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k

katika maisha ya kibinadamu hakuna formular kua lazima mtu akiwa mbaya basi awe na mazuri au akiwa mzuri basi lazima awe na ubaya.sema tu katika mtu mbaya, level ya matendo yake mabaya huwa inatofautiana meaning that kuna anayofanya yakawa mabaya sana na mengine yakawa mabaya kidogo kutokana na jinsi mtu husika anaejudge alivyoguswa, lakini all in all yote ni mabaya. lowasa hana uzuri wowote.yule ni mjasiriamali.kila analofanya ukilitafakari kwa kina utagundua linamanufaa binafsi kwake.siamini hata siku moja lowasa anaweza kufanya jema kwa wananchi bila kua na manufaa ya namna flani.yule ni sawa na panya ambae hupuliza kabla ya kung'ata ili kumpumbaza mng'atwaji lakini akimaliza kupuliza maumivu ya kidonda ni palepale.tushirikiane kusema NO TO LOWASA.
 
Ivi mnajua ata akina osama,Mubarak.Mugabe kuna amabao wanawasupport?
Sishangai kwa ili la Lowasa
 
Let me buy this

1. Kwanza naomba unieleze fikra ipi kati ya alizozitaja mtoa hoja ni fikra za kifisadi?
2. Naomba kupata mwongozo wako wa fikra za kukombolewa in this country??

Jamani jamani nawaomba tusiwe watu tusiopenda mijadala ya kujenga nchi, hoja alizo sema mtoa hoja najua si kweli kama wengi zinawakuna lkn ukweli pia ni dhahabu hata ikikaa chini ya matope ni dhahabu, si semi EL ni dhahabu lkn ukweli kunamambo ambayo aliyafanya hakuna wakuziba pengo lake, kwa mfano kawawa analipi la kukumbukwa kama Waziri kuu? ni ufisadi ambao EL ameshirikishwa na RA kama vijana wa mtaani lkn kama angeendelea kama wm mpaka leo kna mengi sn kulinganisha na mwana wa mkulima amezizima sn, kwa mfano huyu Fisadi kwa upande wa shilingi na chapakazi kwa upande wa pili, alipokuwa anenda mikoani kweli jamaa walikuwa wanafnya kz siyo jamaa yupo yupo tu hana anachoweza sema,
si vzr ku krashi bila kuangalia mazuri pia.
 
Umetumwa?

Ametumwa na wabaya wa Lowassa ili kuibua hoja za kummaliza kama anavyodanganywa kuendelea kutoa matamko kwa gharama kubwa na kupewa nafasi ktk vyombo maalumu vya habari. Angekua na washauri wazuri angeondoka nchini akaenda kupumzika au akatulia kijini kwake ili angalao watu wasahau, lkn kuendelea kujitutumua anazidisha hasira za watu ambao hapa si mahala pake kujadili ni kwanini kila kona hadi vijijini yeye ndiye kipimo cha viongozi wasio waadilifu na kuna mtoto aliyeulizwa swali "ni waziri gani wa kwanza kujiuzulu Tanzania" akajibu "Lowassa" na mwingine akaulizwa nini maana ya ufisadi akajibu "kama wa Richmonduli" na hizi si porojo ni habari za kweli katika shule hizo hizo za "kata sifuri"
 
Tusisahau kwamba ni Lowasa aliyesaini mkataba wa Buzwagi kule London hotelini. Hiyo nayo ni dalili ya uchapa kazi wake nadhani...

Mkuu hapo kwenye RED aliyesaini mkataba wa Buzwagi kule London Hotelini na sio ubalozini anaitwa Nazir Karamagi, Na tayari wana wema wa bukoma vijijini wameshamtendea haki kwa kumpiga chini nafasi ya ubunge. akaendeleze utapeli wake kule bandari kwenye TICS yake.
 
Weee Kaumza, Umetoka kilabuniii au umetoka chooniii
Huyu mtu alishalaaniwa na mwanzilishi anayeona mbali hafai hata kuwa katibu kata, mwizi.
Hujanishawishi hata sifuri, toka nenda kalete hoja nyingine sio huu upuumzi, kama ni mumeo ni huko huko, inzi wa kizungu wee!!
PAMBAFU!!!!
 
Mkuu hapo kwenye RED aliyesaini mkataba wa Buzwagi kule London Hotelini na sio ubalozini anaitwa Nazir Karamagi, Na tayari wana wema wa bukoma vijijini wameshamtendea haki kwa kumpiga chini nafasi ya ubunge. akaendeleze utapeli wake kule bandari kwenye TICS yake.

OOh, asante mkuu, asante kwa sahihisho na samahani kwa hiyo mistake...
 
Edward Ngoyai Lowassa ana mapungufu mengi ambayo yanamfanya asiwe kiongozi tunayemuhitaji Tanzania ya leo!! Awali ya ya yote huyu bwana is not a visionary na sio itelligent na hili nitalithibitisha; hivi karibuni aliwaita waandishi wa habari, wakati Rais wa Tunisia Ben Alli alipopinduliwa na eti kuonya kuwa youth unemployment nchini mwetu ni time bomb ambalo linaweza kulipuka na kuiharibu nchi!! Hayo aliyoyasema ni ukweli mtupu lakini huyu bwana haoni kabisa uhusiano kati ya ufisadi alioufanya kwenye mikataba ya Richmond/Dowans na tatizo la ajira kwa vijana; hizo fedha walizoiba zingekuwa zipo nchini hadhani kuwa zingeongeza ajira kwa vijana? UFISADI WAKE YEYE NA GENGE LAKE NDIO UNAWAFANYA VIJANA WASIWE NA AJIRA !!
 
Back
Top Bottom